MDAU WA LIBENEKE LA LINDIYETU ASHEREHEKEA SIKUKUU YA KUZALIWA

sara mathayo akida
Tunapenda Kuchukua nafasi hii kumpongeza na Kumuombea kwa Allah Mdau wetu Sara Mathayo Akida aweze kutimiza Ndoto zake alizojiwekea na pia mungu ampe afya Njema.
Katika Kusherehekea Siku hii muhimu Tunapenda Kuwapa Taarifa wadau wote Tujitokeze kumsapoti Katika kusherehekea kwa Pamoja katika Ukumbi wa Paris Club Mjini Lindi kwa Mtonyo wa Buku tatu tu Mlangoni.
Unaweza Mfollow katika Instagram Acc :: @sweettestgal_4real

HAPPY BIRTHDAY TO YOU SWEETTESTGAL_4REL

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post