Mabingwa watetezi, Manchester United wamepangwa dhidi ya Newcastle United iliyochuana nayo kwenye fainali ya kombe hilo msimu uliopita.
Washika Mitutu, Arsenal watachuana na Wagonga nyundo, West
Ham United katika dimba la Emirates, Liverpool imepangwa dhidi ya Bournemouth
huku Chelsea ikikutanishwa na Blackburn Rovers.
ORODHA KAMILI HII HAPA
- Ø Manchester United vs Newcastle United
- Ø Arsenal vs West Ham
- Ø Liverpool vs Bournemouth
- Ø Chelsea vs Blackburn Rovers
- Ø Everton vs Burnley
- Ø Fulham vs Ipswich Town
- Ø Exeter vs Middlesbrough
- Ø Mansfield vs Port Vale
Tags
MICHEZO