Droo ya kupanga Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika leo Jijini Cairo nchini Misri na Wawakilishi wa Tanzania Yanga SC wamepangwa Kundi D na timu za TP Mazembe ya Congo, Real Bamako ya Mali na US Monastir ya Tunisia.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...