Unknown Unknown Author
Title: MAKAVU LAIVU:: MWANAMKE KUKAA UCHI UCHI SIO TABIA, JIFUNZE KUJISITIRI..... ONA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake kutojiheshimu hata kidogo kwa kukaa kaa vibaya na kujikuta wanashindwa kuficha nyuchi zao jambo k...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake kutojiheshimu hata kidogo kwa kukaa kaa vibaya na kujikuta wanashindwa kuficha nyuchi zao jambo kwa kweli linawakera watu wa karibu wanaomuheshimu mwanamke huyo.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba wanawake hawa huwa wamekaa hovyo, mazagazaga yote ya ndani yameanikwa hadharani lakini hawana wasiwasi kabisa yaani wamestarehe wenyewe, hata viupepo vinavyopuliza katika Nyuchi zao wala havimshtui ili akae vizuri.
Kwakweli tabia hii ni mbaya zaidi ya sana kwani inawaaibisha wanawake wengine ambao wanajiheshimu.

Sijafahamu tatizo hasa ni nini kwani unaweza kumkuta mwanamke amekaa kwenye kiti amevaa sketi ya kumwaga, miguu ameipanua bila hata kujali kuwa kunawapita njia au watu walio kaa karibu naye ambao wala hawana haja ya kuona uchi wake.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top