KUFUNGIA AKAUNTI YA TWITTER NA FACEBOOK ZA TUNDU LISSU NI SAWA?, KATIBA YA TANZANIA IMETOA JIBU HILI HAPA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida amesema wanawasiliana na TCRA ili kuzifungia akaunti za mitandaoni za Mbunge Tundu Lissu, akidai zinatumika kueneza maneno ya kichochezi.
Tundu Lissu
Amesema anaitumia mitandao hiyo kueneza chuki dhidi ya Jeshi la Polisi, Serikali na Rais.

Inawezekana kweli ikawa hivyo lakini kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kuhusu uhuru wa mawazo imeeleza kama ifuatavyo:-

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post