NIJUZE NIJUZE Author
Title: SIMBA YAONDOSHWA KOMBE LA MABINGWA AFRIKA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mikwaju ya penati kwa mara nyingine imeikwamisha Simba kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikipoteza kwa pena...

Mikwaju ya penati kwa mara nyingine imeikwamisha Simba kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikipoteza kwa penati 4-3 dhidi ya Wydad Athletic

Dakika 90 za mchezo huo wa mkondo wa pili robo fainali ulimalizika kwa matokeo ya Wydad kupata ushindi wa bao 1-0 na hivyo kuwa sare ya bao 1-1 Simba ikishinda bao 1-0 jijini Dar es salaam

Ukizungumzia Simba ya Kimataifa ndio hii tuliyoiona Morocco leo, benchi la ufundi chini ya kocha mkuu Robertinho Oliveira wamefanya kazi kubwa ya kutengeneza kikosi imara

Leo Simba imeondoshwa mashindanoni kwa kuwa ilikosa bahati tu, lakini haikuwa hivyo ndani ya uwanja. Wachezaji wa Simba leo wamemwaga jasho jingi uwanja wa Mohammed V, wanastahili pongezi

Msimu ujao bila ya shaka watarejea wakiwa imara zaidi...


 
***********************************************************

 

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top