SIMBA WAPANGIWA NA VIGOGO HAWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
byNIJUZE-
0
Droo ya kupanga Makundi ya Kombe la Mabingwa Afrika imefanyika leo Jijini Cairo nchini Misri na Wawakilishi wa Tanzania Simba SC wamepangwa Kundi C ikiwa na Raja Casablanca (Morocco), Horoya (Guinea) na Vipers (Uganda).
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...