YANGA NA SIMBA WAKUBALI VIPIGO LIGI KUU YA WANAWAKE

Timu za Kariakoo Yanga na Simba kwa upande wa Wanawake zimeanza Ligi Kuu ya Serengeti Lite Msimu wa 2022/23 vibaya kwa kukubali kupokea vichapo katika mechi zao za kwanza.

Simba Queens ndio ilifungua pazia hilo kwa kukubali kichapo cha bao 2-1 dhidi ya JKT Queens mchezo uliochezwa katika dimba la Simba Mo Arena Bunju hapo jana. Huku Opah Clement akifanikiwa kufunga bao moja tu katika mechi hiyo, Etto Mlenzi pamoja na Fatuma Swalehe wa JKT Queens.

Yanga Princess leo hii imekubali kipigo cha 1-0 dhidi ya Fountain Gate mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru.

yangasc-princess-318606361-514847310676091-804923464802097501-n yangasc-princess-318237203-866713894476364-4177208180144349943-n yangasc-princess-318474438-523947816447242-3486914276517589115-n

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post