YANGA vs CLUB AFRICAIN HAKUNA MBABE KWA MKAPA

Jinamizi la kutopata matokeo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa katika michuano ya Kimataifa limeendelea kuitafuna Yanga leo ikilazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Club Africain

Pamoja na kutawala mchezo kwa muda mwingi, Yanga haikutengeneza nafasi za kutosha huku wapinzani wao wakicheza kwa kujilinda zaidi huku wakitumia kila mbinu kupooza mchezo

Yanga inahitaji kwenda kushinda ugenini au kupata matokeo ya sare yoyote ya mabao ili kutinga hatua ya makundi

Huu ni mtihani mwingine kwa Wananchi kwani watakwenda Tunisia huku wakifahamu watahitaji kushinda ugenini

yangasc-313852920-120033880721083-7520548783240045721-n yangasc-313847861-1304367150104354-3789033861729442379-n yangasc-312461052-1175970626689968-2934909852833955630-n

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post