YANGA YAIFUATA CLUB AFRICAIN TUNISIA

Kikosi cha Young Africans kimeondoka mchana wa Leo Jijini Dar es salaam kuelekea Tunisia wakipitia Dubai tayari kwa mchezo wa Marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ambao utapigwa Novemba 9.

Msafara huu utalala Dubai leo kabla ya kuunga safari kesho asubuhi kuelekea Tunisia

yangasc-314176980-1205526266715311-961356469572683964-n yangasc-314396787-830656004649589-7564066062223255874-n yangasc-313602085-784539115944272-7732537765475373887-n yangasc-313891481-3306468796336666-4950944371974356819-n yangasc-313841897-165414339467505-5900480484203954458-n

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post