VIINGILIO; YOUNG AFRICANS vs CLUB AFRICAIN

Jumatano ya wiki ijayo Wananchi wanarudi katika majukumu ya Kimataifa ambapo watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Club Africain katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi jioni ambapo Yanga imetangaza viingilio vya kushuhudia mtanange huo

VIP ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/ kama utanunua tiketi kabla ya siku ya mchezo

Tiketi za mzunguuko siku ya mchezo zitapatikana kwa Tsh 5.000/-

yangasc-313038704-503841834962624-5450173674166082715-n

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post