KURUGENZI FC MPIZANI WA YANGA KOMBE LA FA

MPINZANI wa Young Africans kwenye raundi ya pili ya Kombe la Azam Sports Federation ni KURUGENZI FC ya mkoani Simiyu, inayoshiriki First League (Daraja la pili).

Yanga ni mabingwa watetezi wa ASFC baada ya msimu uliopita kuichapa Coastal Union kwa changamoto ya mikwaju ya penalti, mchezo uliopigwa kwenye dimba la SHEIKH AMRI ABEID, Arusha.

Tarehe ya mchezo huu utakaopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa, inatarajia kuwa kati ya 9-13, Desemba mwaka huu.

yangasc-317377833-466650715604121-8312718217978053581-n

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post