Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU, SEHEMU YA TANO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 05 Mtunzi: Andrew Carlos Sms tu: 0713 133 633 Ilipoishia.. Sikutaka kabisa kuamini kama kweli jimama...

chombezo cover 1Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 05
Mtunzi: Andrew Carlos
Sms tu: 0713 133 633

Ilipoishia..
Sikutaka kabisa kuamini kama kweli jimama kama lile leo hii limeingia kwangu kiulaini kivile. Nilihisi huenda basi itakuwa ni ndoto lakini kila nikiyapikicha macho yangu nakuyafungua jibu lilliendelea kubaki pale pale kuwa ni ukweli kabisa nimetoka kuwepo na jimama.

Songa nayo sasa…
Nilirudi zangu getto nakujilaza kitandani uku picha na mawazo yote nikiyaelekezea kwa usiku mzima ulivyokuwa. Sikuweza kuupata usingizi wa kawaida zaidi ya kuwa na usingizi ule wa mang’amu ng’amu nadhani unaelewa hata na wewe usingizi wa machale kwa jinsi ulivyo.

Ilipowadia asubuhi na mapema Jof alikuja kwangu nakunikuta nikisafisha birika langu la kahawa tayari kwa kuandaa kuingia kazini.

“Seif Seif”
“Niambei Jof”
“Haya wewe na jimama lako ndio mkanisaliti jana?”
“Unajua Jof yaani sikuwa na ujanja wowote pale jana!”
“Nakujua kwakuwa ilikuwa ni mara yako ya kwanza, haya niambie mshkaji ulikumbuka kutumia zana?”
“Zana? ndio nini?”
“Seif acha ushamba wako wa kijijini hapa. Mjini ukiambiwa zana inamaana ya kondomu, ulikumbuka?”
“Anhh Jof, utamu wote ule eti nitumie kondomu, kwanza maduka yalikuwa yameshafungwa usiku ule!”
“Angalia Seif! kitendo cha mimi jana usiku kuja kule kwake ni kukuletea zana kwani nikiendaga vigodoro ni lazima niwe nazo si unajua pale ni kama kazini lolote linakukuta unalifanyia kazi tu”

Niliganda kwa muda nikiyavuta maneno ya Jof kichwani mwangu. Nikaanza hesabu zile za chekechea kichwani mwangu. Nikatoa kwa mbili nikajumlisha kwa tatu. Mwili ukatetemeka nakutetemeka kwa kusahau kutumia kondomu. Maneno ya baba na mama yakanijaa akilini. Maneno makali ya husia ambayo waliniambia kabla sijaja mjini kutafuta maisha. Neno kubwa lililoniumiza ni kuhusu ugonjwa wa ukimwi. Nikawakumbuka sana wazungu waliokuja kutembelea kijijini kwetu. Wakatuonesha na sinema kabisa jinsi maambukizi ya ukimwi yalivyo. Nikakaa kwa muda kisha nikamjibu Jof.

“Nilitumia bwana nilikuwa nakutania. Yule jimama alijipanga kwake alikuwa nazo nyingi tu”
Nilijikuta nikiyaropoka maneno kwa Jof kwa kuficha tu aibu kuwa nilikumbuka kutumia kinga.”
“Kama ni hivyo sawa” Aliongea Jof. Akazama mifukoni kwake nakutoka na kipakiti kimoja cha kondomu.
“Hiki hapa weka mfukoni utakuwa ukizurula nacho uko kwenye kuuza kahawa yako na hata tukienda vigodoro. Sawa Seif”
“Dah poa Jof, hapa safi”
“Haya unajua leo jumangapi?”
“Leo si jumamosi?”
“Sasa jana ile ilikuwa trela na si unanijua mimi mzee wa vigodoro.

Jana hukuona ladha kabisa wewe. Hii ya leo inaitwa hakuna kulala ni kutimbwirika mpaka majogoo. Usiku nataka nikupeleke Tandale kulee kwa Tumbo kuna bonge la kigodoro mtoto wa Bi Zai anaolewa hivyo kuna mkesha, unajua mishangingi wewe? unajua mitinginya wewe? achana na lile ulilolipata jana usiku hapa nazungumzia mijimama ya kulea inayoishi magomeni uko, Sinza, lazima mtu akae!” Aliongea Jof kwa mbwembwe.

Udenda ukawa unataka kunitoka, unarudia mdomoni. Kiukweli jana usiku ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuzama katika kigodoro lakini utamu nilioupata niliapa na shingo yangu hata kiwe wapi siwezi kukikosa. Nilitamani hata hiyo usiku ifike haraka tu twende na Jof.

“Jof?”
“Nambie”
“Nimeshaghairi leo kutengeneza kahawa. Wacha nijiandae hapa kutengeneza hii kwanza chai yangu na maandazi kisha niingie mtaani. Nikitoka hapo leo haina kuandaa kahawa ya kwenda kuuza jioni ni mwendo wa kigodorrooooo!”
“Umeona enhhh”
******

Mpaka inatimia saa kumi na mbili jioni nilikuwa nimeshamaliza kufanya kila kitu. Niliingia bafuni kukoga. Nilitoa tabasamu kubwa sana baada ya kasuku wangu kuona sasa nimeachana na ukapera. Si unajaua ukapera bwana wewe!

Ile bughuza ya kasuku wangu kutumiwa kwa sabuni na mafuta hata wakati mwingine kupikicha mikono ilimradi tu kasuku wangu aweze kutapika sikuwa nayo tena. Aliponea chupuchupu na kilichomuokoa ni kigorodo cha mara ya kwanza na sasa alikuwa na uhakika uko niendako kwenye kigodoro kingine.

Muda wa dakika kumi ulitosha kabisa kujiandaa. Nguo zile za sikukuu ambazo nilikuwa nikipenda kuuzia sana sura kijijini kwetu nilizitandika mwilini mwangu. Nilijikoleza sana mafuta ya mazito mwilini. Jof hakuwa mbali na muda. tayari alikuwa amekwisha ripoti kwangu na hatukukaa kwakuwa nilikuwa tayari kujiandaa. Safari ya kwenda kwa mguu kutokea Tabata dampo kupitia chochoro ya Kigogo kisha kutokea Manzese ilianza. Njia nzima ilikuwa ni kukaza miguu tuweze kufika fasta. Kwa mtu mwingine haswa wale wa kishua haikuwa rahisi kutembea kamwendo kama haka lakini mbele ya kigiodoro tuliweza kuchanja mbuga na Jof wangu hatimaye tukaingia Tandale. Mara Tandale kwa Tumbo.

Niliyoyakuta huko yalinitoa Jasho!! Jasho lakutiririka kama mkondo wa maji mwilini! Kila kona kulikuwa kumezungukwa na majimama yakiwa katika sare ya manguo marefu mepesi na mitandio kwa juu.

Mimacho yao ilikuwa imelambwa kope za kufa mtu na mawanja meusi mengine ya kijani na bluu. Hata na Jof naye alionesha uzalendo kumuelemea kidogo. Alishindwa kujizuia. Alisogeza mdomo wake mpaka karibia na sikio langu. Akanong’ona kitu!

“Seif unacheki mambo hayo. Nikuone leo kama utaweza na usifikiri kuna kusaidiwa kama jana,Leo utaopoa na akili yako”
“Hilo tu wala usijali”
“Vipi lakini zana umekumbuka kubeba?”

Nilishtuka kwa muda. Nikashusha mikono yangu mfukoni nakujikagua. Nilikuwa nimezisahau chumbani kwangu kwenye ile suruali alioniwekea mara ya mwisho. Sikutaka kumuonesdha Jof kama nimesahau. Angenilaumu. Angelaumu sana kwa ninavyomjua. Angedhani labda nimefanya makusudi wakati nimesahu kwa bahati mbaya.

“ Siwezi kusahau ninazo mfukoni hapa”

Nilijifanya kama zipo uku nikitingisha mifuko ya suruali. Kwakuwa kulikua na kagiza hakuweza hata kuona mfuko wa suruali yangu kama umetuna kwa kuwepo kwa kondom au la!
Mbwembwe zilianza katika himaya hii ya Tandale kwa Tumbo. Kila mmoja alionesha kuanza kupagawa. Niliamini kabisa kuwa bado ni mapema kidogo. Nilihisi kama siyo saa nne itakuwa inakimbilia tano za usiku kwa jinsi watoto wadogo walivyokuwa wakipungua mmoja mmoja. Vijana wa mtaani walianza kuzongea na kuucheza muziki wa kigodoro.Taa zilizimwa nakuacha taa moja tena ilikuwa mbali sana na eneo la muziki ulipokuwa ukipigwa na kuchezwa. Kama kawaida yangu macho yalikuwa juju kwa kuzungua uku na kule kutazama mijimama ilivyoumbika japokuwa mingi ilikuwa imeketi chini ikipiga stori.

Jof kama kawaida yake alikuwa ameshadumbukia katika mduara ambao ulikuwa umeanzishwa na vijana wa mtaani japokuwa haukuwa mduara wa wasichana wengi. Alinogewa kwa kuucheza muziki wa kigodoro. Damu yangu haikuupenda muziki bali ilikuwa imeingia moja kwa moja kwa mijimama haswa inayotingisha miili yao katika kuucheza muziki huu wa kigodoro.

Masaa yakachanja mbuga!! Yakasonga nakusonga mpaka umati ukaonekana kulewa kwa muziki. Hakukuwa na mtoto tena japokuwa mitaa kama hii inasifikaga sana kuwa na watoto wengi wa mitaani.

Kutokuwa na watoto ikaleta mshtuo ndani ya kichwa changu kuwa nichangamke umeshatimia usiku sana pengine hata saa saba au nane za usiku. Kelele za kikubwa zikatawala katika kuucheza muziki. Kama kigodoro cha jana yake usiku hakikupishana tabia. Majimama mawili yakukata na shoka na mwembamba mmoja wakawa wametanda kwa pembeni wakicheza peke yao. Mikononi mwao walikuwa na chupa za bia na wengine glasi na sigara mdomoni.

“Mhh wa uku ni kiboko!” Nilijisemea kimoyo moyo.
Mtetezi wangu Jof alikuwa hajielewi kabisa. Duara zima alikuwa akizunguka akiwa anapepesuka. Nilichokuja kumgundua kumbe nayeye mkononi alikuwa ameshika chupa ya bia. Sikuweza kufahamu mara moja alikuwa ametolea wapi. Nilimfuata nakumvuta pembeni.

“Jof mambo gani tena unafanya haya? tutarudi vipi nyumbani na unaona ni mbali sana na wewe unakunywa tu! ona sasa umeshalewa?”
“Seif hii stimu tena nzuri. Hii kitu cha safari imechanganywa na konyagi kidogo yaani ni balaa!! onja?”

“Hapana!! hapana sijawahi kunywa maishani mwangu na siwezi kuja kunywa labda kahawa zangu ninazotengeneza lakini siyo hii kitu yenu”
“Seif? kidogo tu utaona! kwanza utajua kuucheza huu muziki kwa staili zote. Pili wale majimama watakufuata wenyewe”

Maneneo ya Jof yakacheza ndani ya kichwa changu. Yakapea pea!!
Sikuweza kuamini hata mara nmoja kutokana hata kijijini kwetu tunafahamu kuwa pombe hazileti kitu chochote zaidi ya kutukana ovyo na kupepesuka kukuacha ukipoteza kumbukumbu kwa muda.

“Kunywa mwenyewe na nakuacha mimi narudi zangu!”
Nilimtishia Jof ili tu aachane nakuendelea kuinywa ile pombe. Alifanya hivyo. Aliiweka chini kabisa kisha akaufuata ule mduara nakuunga tela akiendelea kucheza kigodoro.

Akili yangu ikawa mrejeo! nikarudisha kichwa changu mpaka kwenye ule mduara wa majimama mawili na mwembamba mmoja. Nikaanza kupiga hatua moja baada ya nyingine nikikaribia mpaka walipokuwa wakicheza kivyao vyao. Nikawakaribia!!

Viuno vyangu feki nikaanza kuvitoa nikijidai namimi nauweza ule muziki. Kasuku wangu akataka kuniaibisha. Akavimba nakutamani kutoka adonoe. Nikamzuia kwa mapaja uku nikiucheza muziki kwa uwoga nikiwa nimeyabana mapaja yangu.

Kadri muda ulivyokuwa ukizidi kuyoyoma ndivyo na wale majimama na yule mwembamba mmoja walionesha kulewa sana ni kile kinywaji walichokuwa wamekishikila kwa muda mrefu sana mikononi. Jimama mmoja akaingia ndani nakumuacha jimama mmoja na mwembamba mmoja. Aliyekuwa ameshika glassi aliitupa na hata mwenye bia mkononi naye aliitupa.

Taarabu ya mzee Yusuph iliokuwa imefanyiwa maujanja na watoto wa mtaani kuchanganya vionjo na kuupeleka kasi muziki ule ndio ulinogesha zaidi. Yule mwembamba akawa akicheza kama kwa kupepesuka. Mwili wake ulionesha kuchoka kidogo. Muziki uliponoga zaidi alinifuata mbele yangu nakuinama chini akiniachia sehemu ya makalio yake nakukatika vilivyo. Ule umati uliokuwa ukijichezea mduara wenyewe ukanizonga.

Makelele yakaanza kwa kupiga makofi na mluzi. Nikayapindua macho uku na kule namimi kujifanya nayajua mauno. Nikaanza kukatikia mauno feki. Safari hii akili yangu ikapishana kidogo na mwili. Kwani sikuwa nahitaji mwanamke mwembamba bali majimama.

Kweli bwana! jimama moja kati ya yale mawili waliokuwa wakicheza pamoja likatoka mkuku nakutuvamia. Likauvua mtandio wake nakuutupa upande wa pili. Likaanza kusasambua. Yule mwembamba aliokuwa chini yangu naye akaanza kujibu mapigo. Jimama akishusha minguo yake mepesi na yeye anavua vinguo vyake. Wote mpaka wakavua vimini nakubakiwa uchi wa mnyama. Mnene akawa mbele yangu na mwembamba akawa nyuma yangu. Utamu ukanoga.

Ukanogaje! kasuku akawa njia panda. Akashindwa adonoe wapi na hata matapishi ayatapikie wapi. Muziki ukakolea. Sikuwahi kuzigusa shanga kiunoni mwa mwanamke lakini kwa mara ya kwanza zikanatana mikononi mwangu. Mikono ikanogewa!! Mmoja ukawa kwa jimama nyuma na mwingine kwa mwembamba mbele ukirahatwika!! Nikaanza kuzipapasa shanga zao uku nikikatika kiuno cha kuibia. Jimama mwingine naye akatoka nje kwa fujo. Si umeshamkumbuka yule jimama aliyeingia ndani muda ule. Ndio huyu! Akatufikia karibu. Akakuta wenzake wakiwa hawajielewi kwa kunikatikia kimuziki. Akaanza kunisasambua nguo zangu. Akaanza kunivua shati langu. Akalitupa kule! Akalala chini kabisa, na mimi nikalazimishwa kumlalia kwa kusukumwa na lile jimama lingine. Likaja kwa juu yangu na yule mwembamba akamaliza juu yao tena. Kupumua siwezi!! Kuongea siwezi!! kudonoa siwezi!!
********

::: Unavyodhani Seif atatoka salama hapo?? Je itakuwaje maana mitaa ya watu hiyo?
::: Picha kamili ndio kwanza linaanza tegemea kupata vitu tofauti hapa uwanjani katika chombezo hili. Si la kukosa kama ilivyo kwa Seif kukosa kigodoro!
:: LIKE nyingi na COMMENT bila kusahau SHARE ndizo zinafanya Chombezo hili kuwa likitoka kila siku na kwa muda muafaka.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top