Shaa amesema huwa hana pressure yoyote ya kutoa nyimbo kila wakati kwakuwa hategemei sana Mziki huo kuendeshea maisha yake, hivyo hufanya kama sanaa tu na Burudani kwa fans wake kwahiyo hilo hupelekea kutoa wimbo pale anapojisikia kufanya hivyo.
Pia ameweka bayana na kujivunua kuwa na Mashabiki ambao huwa wanamsapoti kwa kila jambo hivyo anawapa Big Up.
Katika ujio wake mpya shaa amesema kwasasa anakuja Kibiashara Zaidi na Record Label japo hakuweza kuweka bayana jina na niwasanii gani watakuwa wako chini ya Label hiyo au Management yake hiyo mpya.
Bofya Play katika Hii Video kwa Kusikiliza mengi aliyoyasema.
Bofya Play katika Hii Video kwa Kusikiliza mengi aliyoyasema.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.