Baada ya Malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo.

Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look.
"Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa mahandsome boy siwezi kwenda, lakini najijua mimi ni good look," alisema Fid Q.
Pia rapper huyo amempongeza muigizaji huyo kwa jicho lake la kumuona na kumtolea mfano.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA WASANII