Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU…!!! SEHEMU YA KWANZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 01 Mtunzi: Andrew Carlos Whatsap na Sms tu: 0713 133 633 Madirisha yote mawili ndani ya chumba chan...

chombezo cover 1Simulizi: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 01
Mtunzi: Andrew Carlos
Whatsap na Sms tu: 0713 133 633


Madirisha yote mawili ndani ya chumba changu nilihakikisha nimeyafungua mapazia yake lakini bado haikusaidia kutuliza joto kali ndani ya chumba changu. Yalikuwa kama yakinizidishia joto. Niliiva mwili haswa kwa joto. Nilikuwa nimevua nguo zote nakubakiwa na nguo ya ndani tu. Giza lilitawala kutokana na taa kuizima, kitanda cha sita kwa sita nilikiona kidogo kama vile cha tatu kwa nne. Kwakuwa sikuwa hata na feni lakini mashati yangu yalifanya kazi ya kupepea chumba chote angalau kutuliza ghasia ya joto.

“Mhh kweli hii daresarama na sio dar es salaam!”
Niliongea mwenyewe uku nikitoa msonyo kwa kukerwa na joto.

“Hapa tu naishi Tabata je hao wanaoishi huko uswahili Temeke sijui Mbagala? dah wacha tu nikomae nalo!” Nilijikuta nikijiuliza mwenyewe nakujijibu.

Nikiwa bado katika mawazo ya hapa na pale mara nikahisi kama dirishani kwangu kukichokonolewa. Macho kodo!!

“Wameanza tena! wameanza hawa!!” Nilitoa sauti ya juu. Nilijua wazi wale wale wezi wa madirishani wameanza katabia kao.

Katabia kakuiba kwa kutumia fimbo na gundi. Haraka haraka nikainuka nakwenda kuiwahi taa nakuiwasha.

“Hampati kitu hapa!!” Nilitoa sauti ya juu.
“Anhaa haaa haa” Sauti ya kicheko ilitoka kwa dirishani.
Nikaguna nakutoa fyonyo kali kwa mara ya pili.

“Seif hutaniwi wewe, dahh sijawahi kuona mshikaji muoga kama wewe”
Mapigo ya moyo yakatulia kidogo. Nilishamgundua kwa sauti mtu aliokuwa akijifanya kama anataka kuiba. Alikuwa ni swahiba wangu mkubwa Jof.

“Masihara yako ujue Jof mie siyapendi wala nini? Wewe usiku usiku watu tumelala wewe kukazana kuzingua, haya ningekuwa na shemeji yako hapa” Nilimtania Jof.

“Seif ninayekujua wewe shem umpate wapi wewe!!. Mtu gani muoga namna hiyo. Mpaka sasa sijawahi hata kukuona ukilala na mwanamke hata beki tatu mshkaji duh!”

“Acha zako basi Jof!!. Vipi usiku wote wapi unaenda wapi badala ukalale geto kwako?”
“Mie wakulala sasa hivi? Amka acha ushamba twende ukatoe gundu. Twende hapo mtaa wa pili kuna kigodoro” Aliongea Jof.
“Kigodoro? Ndio nini? Unamaanisha magodoro!”
“Seif tatizo lako wewe mshamba sana tangu uingie Jijini kutoka kwenu kwa wauza vitunguu uko Iringa na wala hujui yanaotendekaga usiku.

Hujajua tu raha ya kigodoro wewe! Kigodoro ni muziki unaochezwa usiku sana kwenye mikesha ya sherehe na haki ya mama Kule utapata hata mchumba usiku huu huu lazima ung’oe. Twende!!” Aliongea Jof.

Kabla hajamalizia kuongea haraka haraka niliinuka zangu kitandani. Niliamini moja kwa moja maneno ya Jof kutokana na kutokuwa muoga kwa wanawake. Lile shati ambalo kwa muda mrefu nililigeuza kuwa feni nikalivaa mwilini. Ndala nikazipachika miguuni. Nikatoka nduki uku nikiegesha mlango wangu nakuzunguka nyuma ya dirisha nilipokuwa nikiongea na Jof.

“Jof unasema kweli? Wachumba wakumwaga?”
“Sasa tatizo lako ni nini??, mjini msingi kiuno tu pesa ya nini??”
Nilijikuta nikikubaliana na mwili wangu ukisaidiana na akili.

Tulishikana mikono na Jof mpaka mtaa wa pili. Sauti kubwa ya muziki iliuhamasisha kabisa moyo wangu. Ulijikuta ukidunda si kwa kuhema bali kwa kuufurahia muziki ukipigwa. Watu walikuwa ni wengi waliokuwa wamezunguka duara moja kwa kuucheza muziki.

Sikupenda kujionesha mshamba hata kidogo. Niliusogeza mdomo wangu mpaka karibia na sikio la Jof.
“Jof, sasa pale kwanini wamemuweka yule Mmama kati?”
“Hawajamuweka pale. Ukiona vile utamu kwake umekolea ngoja tu utaona kitu”
“Kitu gani?”
“Wewe tulia tu baada ya muda mwenyewe utaniambia”

Akili yangu yote ikawa kama imeganda kwa Lile jimama. Lilionekana kuwa na shepu ya kufa mtu. Kiuno cha kukata na shoka. Makalio ndio balaa. Lilikuwa limelivalia dera la rangi ya manjano lililomuweka kuonekana kwa nguo yake ya ndani ambayo ilikuwa ni nyeupe kupitiliza. Kasuku wangu alikuwa akitibuana na zipu ya suruali tu.

Nilikuwa katika mtihani wa kuhakikisha asitoke japo nilishamruhusu amwagie humo humo.
“Seif? Seif”
“Niambie”
“Twende tuunge foleni ile, Twende bwana tukafanye mduara lazima tutapata tu mmoja kati ya wale”
“Kweli enhee lakini anza wewe. Nitakuja!!”
“Ushaanza uwoga wako nisioutaka hapa!”

Ndio kwanza nilikuwa nikiona kwa televisheni muziki wa mduara. sikuujua kabisa kuucheza zaidi ya kuuona tu. Jof alining’ang’ania mkono nakutaka nijiunge naye kwenye mdura lakini nilijitahidi kuwa mbishi. Utamu kwake ulikuwa umeshamzidia. Akaamua kujitoma mwenyewe akiniacha nikiingiwa na woga wa kutokujua kuucheza muziki ule.

Macho yangu yalikuwa bado yakiendelea kupepesa eneo moja tu. Eneo la katikati ya ule mduara. Eneo ambalo bado lile jimama lilikuwepo katikati ya mduara likicheza peke yake. Liliendelea kukata mauno haswa. Kadri lilivyokuwa likiendelea kukata mauno ndivyo na mimi mtima wangu ulivyokuwa ukizidi kuumia. Macho yangu yalikuwa kama yamezibwa kuangalia ule mdura ukizunguka. Hata Jof alivyojiunga katika mduara sikumfuatilia kumuangalia japo kujifunza kujua unavyochezwa. Baada ya muda mfupi muziki ulionekana kukolea haswa. Kila mmoja aliokuwa amezunguka katika mduara alionekana dhahiri kuzunguka kwa kuucheza vilivyo. Kwa wavulana walionekana mbele yao kuwa na wasichana wakikatikiwa kila mduara ulivyokuwa ukizunguka. Jicho langu likahamia kwa Jof sasa. Nikatamani kama na mimi ningekuwa maeneo yale ningeambulia japo kugusana na mwanamke maeneo ya mbele yangu japo kasuku wangu atulie.

“Dahh najutia mimi!! lakini leo kitaeleweka tu mwenzangu Jof keshaopoa!” Niliongea mwenyewe uku nikihamisha macho kwa Jof nakuendelea kulitizama lile jimama lililokuwa likikonga moyo wangu. Kwa sasa lilikuwa limepandisha lile dera lake kwa juu. Dera lote likafunika nusu ya mwili wake kuanzia kifuani mpaka usoni. Eneo la chini kuanzia kiunoni likabakiwa na nguo ya ndani moja tu ambayo ilikuwa ni nyeupe. Likaanza kukatika uku limesimama. Likaona hiyo haitoshi. Mshawasha!!
Likalala chini nakuanza kukata mauno. Makelele si makelele. Kila mwanaume alikuwa akitaka kwenda kulizonga kukatika nalo kwa juu. Ni Jof ndio alikuwa stadi wakutuliza wenzake. Aliwazuia wamuache yule mama acheze mwenyewe ili waendelee kushuhudia mautamu. Lile kundi la watu likamwelewa Jof. Lile jimama ndio kama likawa limelewa sifa zaidi. Likazidi kuchanua mauno.

“Dah kweli tembea uone” Bado niliendelea kujisemea kimoyo moyo.
Kasuku wangu alikuwa hajiwezi kabisa. Alikuwa ametapika vya kutosha zaidi ya mara mbili. Suruali yangu nilihisi kuchafuka vilivyo lakini nilijikaza japokuwa niliendelea kujichafua.

Midadi ilinizidia. Si kwa mimi peke yangu bali kwa umati wa watu wote pale. Mama mmoja alitoka katika mduara fasta nakuliwahi lile jimama kuliweka nguo vizuri lakini ndio kwanza kundi la watu waliokuwa wakicheza mduara ule wakisaidiana na Jof walimzuia yule Mama.

Jimama likapagawa!! Likawa kama limeongezewa sifa mara mbili. Zile nywele zake zilizokuwa zimezibwa na Nywele bandia likazitoa nakutupa kule. Likavua ile nguo yake ya ndani ambayo kwa muda huu ilikuwa imebadilika rangi kutoka nyeupe na kuwa kama nyeusi si nyeusi kutokana na uchafu wa lile eneo pindi alipolala chini kukatika. Likabaki uchi wa mnyama. Halikuwa limenyoa nywele zake za ndani.
Nilibaki mdomo wazi. maishani mwangu sikuwahi katu kushuhudia lijimama kama lile kusasambua mbele ya watu. Shanga kibao kiunoni mwake zikajiachia. Mwaah!! Kelele zikalipuka kwa mara nyingine tena. Lile jimama likaanza kukatika sasa. Likaanza kukizungusha kiuno chake kwa ustadi wa hali ya juu likifuata mdundo wa muziki.

Nikajikuta namimi nikitamani kuliendea pale chini japo kulikumbatia mwili wake. Akili yangu ikaanza kubishana na mwili juu ya kulivamia lile jimama. Mwili ukashindwa na akili. Nikabaki nikiendelea kutumbua mijicho uku nikihisi kujichafua kwa mara nyingine tena ndani ya suruali yangu.

**********
:: LIKE 600 na SHARE 50 kuikaribisha simulizi hii matata ambayo inaomba njia kuanza kutoka.
:: Je Seif ataweza kufanikiwa kweli kutoka na yoyote? Inamaana Seif hayajui mapenzi?
:: Kuna vitu vingi sana utavipenda ndani ya simulizi hii ya ukweli kutoka kwangu.
Simulizi ya kukufunza. Kukusisimua. Kukufurahisha na hata kutamani kuingia ndani yake.
:: Ni zaidi ya simulizi kutoka kwa mwandishi wa simulizi kali na za kusisimua kuanzia. Play boy na Play gal na nyingine zingi na si ya kukosa simulizi hii.
:: ANGALIZO ::
Huu ni mwanzo tu. Simulizi hii sehemu ya pili itaendelea rasmi JUMATATU

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top