Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU SEHEMU YA TISA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 09 Mtunzi: Andrew Carlos Sms tu: 0713 133 633 Ilipoishia.. Sikujua hata matumizi ya kondomu. Sikuwa ...
chombezo cover 1Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 09
Mtunzi: Andrew Carlos
Sms tu: 0713 133 633

Ilipoishia..Sikujua hata matumizi ya kondomu. Sikuwa najua ikivaliwa wala kuvuliwa zaidi ya kuonaga kiboksi chake tu tena kwa nje au kwenye zile muvi zetu zile za X tena mabandani. Sikutaka kumuonesha yule binti ushamba wangu wa kutokujua kuvaa na kutumia kondomu.
Songa nayo sasa..
Nilichukua hivyo hivyo nakuanza kuivaa uku yule binti akiwa chali akisubiria nimalize kuvaa tuanze kazi. Kazi ya kumdumbukiza kasuku wangu kwa mara ya kwanza akiwa katika magwanda. Kucha kucha zangu ukichanganyia na papara zilizochochewa na kasuku wangu nikajikuta nikishindwa hata kuchana kile kikaratasi.Nakachana vibaya. Kondomu ikararuka !! ikachanika vibaya. Haraka haraka nikaangalia kale kabinti kama kameshtukia kwa kuniangalia. Hapana!! kalikuwa kakiisubiri mashine yangu ianze kazi.

“Bado tu!!, Muda wote unavaa tuu jamani!”
“Namalizia nadumbukiza sasa hivi!”

Sikuwa na ujanja zaidi ya kuivaa vile vile ile kondomu iliokuwa imeraruka vibaya. Kasuku akawa amependeza upande mmoja niliomvalisha ile kondomu. Japokuwa iliingia kwa shida kwa kasuku wangu. Nikalenga shimo nakumdumbukizia yule binti!
Papara zikaanza sasa!! zikaaendelea na kuendelea!!. Mashine kila ikiingia inagota yenyewe kwenye mkia na miguu. Hakuwa mtoto wala binti kwa jinsi maumbile yake yalivyokuwa. Nilimuingiza kasuku wote kama mara sita saba kwa kuingiza na kutoa, utamu ukaja!!. Ukaja zaidi nikatoa bao. Ndani kwa ndani!! Kilichofuatia ni bonge la kibao kutoka kwa yule binti.
“We weweee weeee!”
Alinisukuma kwa nguvu nakunifinya kwa makucha yake.
“Nini kwani?”
“Kwanini ukojolee ndani?
Inamaana kondomu hukuvaa nilivyokuambia?”
Nilivaa si hii hapa!!” Nikamvuta kasuku wangu vizuri ili aione ile kondomu.

Masikini ilikuwa imepasuka vibaya. Kama ingelikuwa ni ajali ya gari basi hapa lingekuwa ni nyang’anyang’a milango mpaka madirisha.
Haikuwa kondomu halisi kwa muda huu. Kile kitendo cha kuivaa vibaya ukichanganyia na ukubwa wa mashine yangu uliiteketeza kabisa ile kondomu yote. Ikawa imepasukia zaidi ndani kwa ndani.
Utelezi wote ukatoka!! ulimwagikia yule binti. Machozi yakaanza kumlenga lenga sambamba na mishipa ya hasira pembezoni mwa uso.
“Niko katika siku zangu za hatari na leo sikuwa nimekunywa vidonge. Na hii tayari mimba!! mimba hii umenipachika mshamba wewe!! Sura kavu hivyo ndio nizae na wewe?? bora hata ungekuwa mzuri basi!! Haya na hapa utailipia kuitoa tu!! Nimechoka kuzaa zaa ovyo. Umeshaniharibia kila kitu sasa!!” Aliongea kwa hasira.
Maswali yakanijia pasipo majibu.

“Vidonge!! inamaana huwa wanakunywa vidonge, vya nini sasa?” Nikajiuliza mara mbili mbili kwa sauti ya chini. Ushamba ukaniteka nakunivaa!! NIkawa zezeta wa muda!!
“Bado tu umeng’ang’ania kifuani mwangu, embu nitokee hapa!!. Toka hapa kaa pembeni??”
“Sawa!” Nilimjibu uku nikijisogeza pembeni yake. Kimya!!
“Hivi wewe?? hujui kufanya mapenzi enhh?? Si ungeniambia tu hujui kutumia hata kondomu ningekuvisha? Ndio mana lisura libaya ukakosa hata wa kukuachia uchi pumbavu wewe!! Mwanaume mzima ovyoo!! kondomu hujui kuvaa, kitandani huwezi kitu bado tu unaishi jijini?” Aliendelea kunisema.

“Hapana!! mbona niliivaa vizuri tu”
“Kwenda zako!! ! ungeivaa vizuri ingekuwa hivi wewe? Ona kikaratasi chake ulivyokitafuna sijui ni makucha kila pembe. Sasa ndio ulikuwa unataka ifungukaje? Haya hapa hii mimba imeingia ni lazima baada ya wiki niitoe tu. Kwenu wapi? Au twende ukanipe hela ya kutoa sasa hivi?”

Kigugumizi cha muda kikaniteka. Kinaniteka sana! Lile domo zege la zamani likajirudia upya, Usinicheke!!. Nilishindwa kuongea chochote. Ule utamu wa mazingira mpaka vibinti vilivyo bomba ukaniishia. Nikahisi kama mtego nimetegeshewa. Lakini mtego kivipi wakati nilijileta mwenyewe tena kisingizio ikiwa ni tumbo la njaa.
Nikaijutia sana ile njaa iliyoniamsha nakuranda randa mtaa mmoja baada ya mwingine mpaka kufika huku.
“Kwangu mbali sana!”
“Hata kungekuwa mbinguni?
hapa siwezi kuendelea kufanya tena biashara kwa wengine wakati wewe ushaniharibu. Ushaileta mimba hapa!! ninachotaka unipatie hela leo leo sina mjadala la sivyo kitanuka hapa!!”

Akili yangu ikaonekana kuzeeka na kurudi katika utoto. Kale kabinti kakawa kakivaa nguo yake moja baada ya nyingine uku kakionesha dhahiri kuvimba mdomo kwa hasira kali. Woga ulikuwa ni mwingi sana kwangu baada ya kunitamkia kuwa kitanuka hapa!! Ni wazi niliamini kenyewe ni kenyeji hivyo kangeweza kunizulia baya lolote.
Nilibaki mtulivu japo nilitetemeka mikono hata suruali niliona kama ina shoti. Ile shoti ya umeme kabisa. Niliivaa uku nikitetemeka tetemeka.
Kabla sijaipandisha juu kabisa yule binti akawa ameshamaliza kuvaa nguo zake akaniwahi kuishika suruali yangu kabla haijakubaliana na kiuno changu kuweza kuifunga. Sijakaa sawa akaliwahi na shati langu kwa chini. Akalishika mkono mmoja na mkono mwingine akiwa ameng’ang’ania suruali yangu.
“Huvai kitu hapa mpaka tukubaliane kwanza!! unaenda kunipa hela yangu hunipi??”
Nikiwa katika kujiuma uma yule binti akaniwahi kunishika suruali maeneo ya mifukoni. Akachomoa salio kidogo la mtaji wa kahawa. Halikuwa salio kubwa sana. Ilikuwa ni akiba yangu ya shilingi kama elfu 7 tu.
“Hii nikijumlisha na hii Napata elfu kumi bado shilingi elfu kumi na tano”
“Sikiliza nikwambie mimi sikujua na kwa hiyo inakutosha kabisa maana hata uko unakosema twende nyumbani ni mbali sana na hata hivyo sina pesa nyumbani”
“Unasemaje?
Hunijui nakwambia tena hunijui, ngoja nikuwashie moto sasa hivi!! nakinukisha eneo lote watajua nini kinaendelea sasa hivi!!, tulia sasa!!”

Yule binti aliniacha nakutoka nje kwa hasira kisha akaufunga ule mlango kwa ufunguo mimi nikiwepo bado kwa ndani peke yangu.
Nilibaki nikiduwaa nisijue cha kufanya. Yale machozi niliyoyatoa asubuhi kwa Mash yakajirudia tena kwa mara ya pili. Safari hii kwa haraka haraka niliweza kuyawahi kuyafuta.
“Inamaana kabinti kadogo kama kale kanizidi akili? mimi? mimi Seif?”
Nilibaki nikijisemea mwenyewe chumbani. Macho yangu yalikuwa yakiitazama ile kondomu niliokuwa nimeiharibu. Ilikuwa haifai kwa mchanganyiko wa uteute. Niliisogelea nakuishika. Nikainyosha juu kuiangalia vizuri kama kweli ilikuwa imechanika. Mbele hakukujulikana na hata nyuma hakukujulikana pia.

Nikiwa bado katika kushangaa mara mlango ukafunguliwa.
“Kaa kimya tena tulia paleee kwenye kona!!” Aliongea yule binti. Alikuwa ameingia na njemba moja hivi. Moja kwa moja nikujua huenda ni mteja wake. Nilifuata kama alivyokuwa akisema. Si kwa kumuogopa yule binti la hasha kwa njemba ambalo alikuwa ameongozana nalo. Nililiogopa sana! Lilikuwa njemba la haja. Mwili jumba kifua tenki la maji bichwa la treni.

Tulii!! nilikuwa pembeni kabisa kwa kona ya kile chumba. Nilikuwa katika kushuhudia kifuatacho.
“Yule achana naye ni fala tu wa humu ndani huwa anafanyaga usafi kila tukimaliza kazi zetu humu chumbani” Aliongea yule binti akimwambia yule njemba kuhusu mimi.
Alikuwa akilivua shati lile njemba. Akalivua na suruali.
“Shineeee!!” Niliongea mwenyewe kimya kimya.
Lile njemba lilikuwa na mashine balaa. Si kimashine nilichokuwa nacho mimi. Nilibaki kumshukuru kimoyomoyo yule binti kwa kuangalia video ya bure pasipo kulipia uku nisijue namimi muafaka wangu wa kutoka kutokana nakuzuiwa na kibinti kidogo ndani ya gesti hii.

Nilibaki nikimsikitikia yule binti kutokana na shine aliokuwa nalo lile njemba. Yule binti akavua nguo zake nakubakiwa na chachandu tu kiunoni kama alivyonifanyia mimi. Akalala!! safari hii hakulala kifudifudi bali alilala chali mapaja akiyatanua.
“Kondomu tafadhali, vaa!!” Aliongea yule binti akiliambia lile njemba.
Sasa hapa nikawa najifunza kwa kuibia nione ataifunguaje nakuivaaje na pia nijue ni wapi nilikosea.
Kwa taratibu lile njema lillichukuwa kikaratasi cha kondomu kisha likakichana kwa upande kwa kutumia mdomo wakati mimi nilitumia mikucha yangu kuchana ovyo. Likashika chuchu ya ile kondomu kisha likavalisha shine lake. Shine likavalika!!

Likadumbukiza kwa kale kabinti. Kakakunja sura ya uvumilivu. Kakatoa mguno kumaanisha kuwa mzigo umemuingia khaswaa!! Kisawasawa!!
Njemba lile likaanza kupiga pushapu za nguvu juu ya kifua cha kale kabinti. Milio ya kushindwa mikito kikaanza kuitoa. Haaaa!! jamaa halikuweza kwenda sana baada ya muda tu likawa limeshachoka hoi na lishine lake hoi. Kale kabinti kakachukua chake kakavaa nguo na lile njemba likaivua ile kondomu kisha likatoka nje nakuniacha na kale kabinti ndani.

“Wewe hakuna kutoka mpaka nimalize kazi zangu zote twende kwako nikachukue changu. Hapa nafanya kwa sababu tu. Siwezi nikawalaza wanangu njaa!! Na hili jamaa lililotoka limeshaniumiza umeona mwenyewe. Haya inuka twende kwako!” Aliongea yule binti. Hakuwa akijielewa kabisa na hata mimi sikumuelewa. Pengine niliwaza hakuwa katika siku za hatari kama wasemavyo wanawake kuwa ni lazima upate mimba.
Niliona kama kamenitegeshea tu!
“Kwani unataka nikakuongeze shi ngapi?”
“Elfu kumi na tano”
“Nakuomba uniamini kesho nitakuja tena ili unipe na nitakuja na pesa zaidi sawa?”
“We we weee!! jiji hili kuna kuaminiana kwenye pesa? Nani akuamini wewe? Inuka twende sasa hivi?”

Kipindi hiki kalizidisha sana makelele. Kalikuwa kakiongea sauti ya juu sana. Nilianza kuingiwa kwa woga na aibu ndani ya eneo hili la chumbani. Kamwe sikupenda umati wa watu uweze kunishuhudia kwa chochote maishani mwangu.
“Nyamaza basi umeeleweka twende” Niliongea kwa sauti ya chini kukapunguza sipidi ya kuongea. Kalikaa kimya tukatoka mpaka nje. Kitendo cha kufika tu nje kwa mbali upande wa baa nikashikwa na mashangao.
Mash? Ndio alikuwa ni Mash jimama langu katika kinguo kifupi sana kilichoonesha mipaja yake wazi wazi. Kila mmoja alionekana kumshangaa mipaja ile. Alikuwa ameshikwa kwa begani na njemba lile lile liliokuwa likifanya mapenzi na binti huyu muda mfupi uliopita.
Nilitamani sana nimsogelee karibu anione au nimchane makavu lakini kutokana na kung’ang’aniwa na huyu binti pili kutokana na kunidai niliona wazi ningedharirika mbele yake na jamii kwa ujumla.
Mash akawa akija upande niliopo na lile njemba. Ni wazi walikuwa wakija kwenye vyumba vya gesti nilipotoka. Alikuwa akija kupewa haki! si unajua haki ya mapenzi. Alikuwa yupo mawindoni kama alivyosema shuguli zake. Nikiwa bado katika kumshangaa Mash uku na kule pale pale sikufanya ajizi nikamwangalia vizuri yule binti niliokuwa naye. Naye alikuwa amezubaa kwani wakati nikimsahangaa Mash yeye alikuwa ameshaanza maongezi na mteja mwingine pembeni yangu. Hapo hapo ukawa mwanya kwangu. Nikaporochoka!! nikamtoroka yule binti!! nikazunguka katika umati wa watu nakutokomea gizani. Nilipofika mbali nikayarudisha macho yangu nyuma nilipotoka. Yule binti hakuonesha kujali wala nini ndio kwanza alimshika mkono yule mteja aliokuwa akiongea naye nakuelekea naye kwenye ile gesti kuonesha kuwa kameshakubali kupewa tena haki.
“Mhh kweli hili jiji, tembea uone!!” Nilijisemea mwenyewe kisha akili nikairudisha kwa Mash. Mash jimama langu.
“Haiwezekani mpaka nijue kitakachoendelea hapa!!” Nilipingana kabisa na moyo wangu.

Taratibu nikaanza kurudi kuelekea katika vyumba vile vya gesti lakini kwa upande wa nyuma yake. Lengo likiwa nikwenda madirishani mpaka nijue chumba alichokuwepo Mash na njemba lile. Kwakuwa madirisha yake yalikuwa ni madogo sana waliwezea kuyaacha wazi kila chumba. Nikaanza kulichungulia dirisha moja baada ya jingine. Nikakaona kale kabinti. Sikutaka kuona kakipewa haki tena.
NIkaendelea kutafuta dirisha jingine mpaka nikafanikiwa kulifikia dirisha la Mash. Alikuwa ndio kwanza akiingia na yule mwanaume. Ile ile mipaja yake nilioishuhudia siku ile. Mwili wake na sauti ile ile yake niijuayo.
“Kwani ni sh, Ngapi?” Aliuliza yule njemba alioiungia na Mash.
Na kondomu sh elfu 5 kavu elfu 10” Aliongea Mash.

Sikutaka kuamini alichokuwa akiongea Mash. Nilihisi huenda ni Mash bandia lakini kila nikiunganisha maneno yake kuwa anajiuza na ndio kitu kinachomletea kusomesha na hata kuwalisha wazazi wake.
“Chukuwa kumi hii nataka kavu” Liliongea lile njemba.

Mash aliichukua ile pesa. Akaifinyanga kwenye mkono wake. Akasaula nguo zake zote nakuiweka ile pesa kisha lile njemba likaanza kufanya naye mapenzi. Roho ilioniuma sana. Ninapokuambia sana ni zaidi ya sana mpaka machozi nikikumbuka. Sikuamini kabisa kama Mash huyu niliyemfahamu kwa muda tena kwenye kigodoro, akanitorosha kwenye kigodoro na kwenda kunipa haki tena kavu kavu nakuniambia maneno matamu matamu. Mara hajawahi kuona mashine kubwa kama yangu na hiyo hapo ni nini?? hilo lijimashine kwa njemba tena kavu hujaliona tu. Mash wewe Mash wakati uliniambia kuwa hajawahi kwenda kavu ni mimi tu. Nilijilaumu nafsi yangu kwa muda.
Nilijiona mjinga wa kuitikia na mjanja wa kufanya.

Nirudi tu kijijini nikajifie kwa ukimwi. Mash kaniua kwa siku moja!” Niliongea mwenyewe uku machozi mengi sana yakiendelea kunichuruzika katika mashavu yangu. Nguvu zilinilegea.
Sikuwa na ujanja tena. Kila nikitaka kuinuka nilikuwa nashindwa narudi tena chini. Nikajikaza kiume nakuinuka tena, Nikachungulia tena. Kuchunguia lile njemba likaongeza pesa nyingine kwa Mash.
Mash akaligeuzia staili tofauti. Vijana wa sasa wanaita kichuma mboga, sijui mbuzi kagoma kwenda!!. Njemba halikutaka masihara. Likaanza kupakua bila wasiwasi hadi nikahisi huenda lilikafanyia testi kwanza kale kabinti kwa kukojoa fasta.
Kwa Mash likaonekana kuridhika kwa mauno ya kwenye vigodoro. Likamaliza likaongeza dau tena. Safari hii likampatia Mash shilingi elfu thelathini.
Nataka na nyuma naruhusiwa? pesa hii!!” Liliongea lile njemba.
“Usiwe na shaka ndio kazi yangu pakua tu!!” Aliongea Mash akirudia staili ile ile ya chuma mboga.

Njemba likajidai kwa Mash kavu kavu. Likamfanya nyuma kwa makubaliano ya zile pesa. Nikazidi kuumia sana nakunyong’onyea tena. Nikalegea kwa mara ya pili mpaka chini.
“Oooohhh Seif mimi naangamia!!”***********
:: Ni zaidi ya simulizi. Ni zaidi ya majonzi, ni zaidi ya kufurahisha na kukuliwaza pia kukufunza.
:: Je unavyodhani Seif atafika nyumbani kweli? Na kwanini Mash amemfanyia vile Seif?
:: Utamu ndio kwanza unazidi kukolea. Usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia ujisomee mwenyewe hapa hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top