MMILIKI WA HOTELI YA VILLA PARK APATA AJALI MBAYA NA KUFARIKI DUNIA

ajali
Watu 2 akiwemo mmiliki wa Hoteli ya Villa Park iliyoko Makambako wamefariki katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo.
mmiliki wa villa park
Ajali hiyo inadaiwa kuwa imehusisha gari dogo aina ya Harrier yenye namba za usajili T 353 DGE na Lori la mizigo.
Ajali
Chanzo: JF
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post