Unknown Unknown Author
Title: VIDEO: WAZIRI MKUU AHIMIZA UENDELEZAJI WAKILIMO CHA CHAI NCHINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa Mkoa wa Njombe kutembelea viwanda vya chai ili kujua changamoto zinazowakabili ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa Mkoa wa Njombe kutembelea viwanda vya chai ili kujua changamoto zinazowakabili wawekezaji na wafanyakazi katika viwanda vya chai.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu amesema hayo alipoembelea kiwanda cha chai cha Kibena kilichopo Mkoani Njombe.


Kiwanda hicho kinachomilikiwa na wawekazaji kimetoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu mbili miatano,

Mkurugenzi wa Kibena Tea estate Bw ALLAN AGOITIS amemweleza waziri Mkuu Chai ya Tanzania inashika nafasi ya Tatu kwauzalishaji wa zao hilo katika nchi za afrika mashariki.

Waziri mkuu amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuendeleza viwanda vilivyopo nchini na kujenga vingine ilikukuza soko la ajira pamoja nakukuza uchumi wanchi.

Pia amewataka wafanyakazi katika kiwanda hicho kufanya kazi kwa uaminifu na bidii ili wawekezaji waweze kuendelea kuwepo hapa nchini.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top