HICHI NDICHO ALICHOKISEMA P FUNK MAJANI JUU YA SKENDO YA MTOTO WAKE PAULA

Moja kati ya issues ambazo zimetrend kinoma wiki iliyopita ni pamoja na hii skendo ya Ngono ya binti anayesemekana kuwa ni Paula mtoto wa muigizaji Kajala na producer mkongwe P Funk Majani.
Paula
Kitu ambacho kiliwaumiza sana wazazi hao wawili, na kudai kuwa binti aliye kwenye video ile ya ngono hakuwa binti yao na kupelekea kutoa mapovu sio ya pole pole mitandaoni.

Jana kwenye On Point ya CLouds FM mtu mzima Perfect Crispin aliamua kupiga story na P Funk Maajani ambaye ni baba mzazi wa Paula na kuzungumza mengi sana kuhusiana na skendo hiyo.
P Funk Majani na Kajala, Paula
P Funk Majani alidai kwamba endapo angekuwa ni binti yake wala asingeweza kusikika kwenye vyombo vya habari na badala yake ange deal na huyo mwanaume aliye kwenye video hiyo na kufuata mambo ya kisheria zaidi.

Play hii video hapa chini kusikiliza interview ya dakika 6 na sekunde 43 ambayo Perfect Crispin alifanya na P Funk Majani.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post