BRAND NEW VIDEO MUSIC | RIHANNA BY AWILO LONGOMBA FT YEMI ALADE | WATCH HERE

Awilo Longomba ft Yemi Alade - Rihanna
Baada ya Kutesa na Kibao cha "ENEMY SOLO"  alichowashirikisha Mapacha kutoka Nigeria P SQUARE mwanamuziki kutoka Congo Awilo Longomba amekuja na Collabo nyingine Matata, wakati huu akiwa na Yemi Alade.

Wimbo unaitwa "RIHANNA", Director wa Video hii ni Clarence Peters


Enjoy..!!


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post