BRAND NEW VIDEO MUSIC | LOVING YOU BY @officialiyo FT @diamonaplatnumz | WATCH HERE

IYO - Loving You Ft. Diamond Platnumz
Msanii wa Nigeria, Iyo ameachia video ya wimbo wake ‘Loving You’ aliyomshirikisha baba Tiffah, Diamond Platnumz. Bila shaka huyu anakuwa msanii mwingine mpya ambaye staa huyo anampa tobo Afrika Mashariki.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post