Unknown Unknown Author
Title: HUDDAH ACHEKELEA KWA PREZZO KUACHANA NA STARLISHA, ASEMA YUKO TAYARI KUMRUDIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kuachana na Starlisha Tillya aka Mdoli wa Kichaga, Prezzo anaweza kupata liwazo kutoka kwa mtu anayemjua vizuri, Huddah Monroe. Hud...

Baada ya kuachana na Starlisha Tillya aka Mdoli wa Kichaga, Prezzo anaweza kupata liwazo kutoka kwa mtu anayemjua vizuri, Huddah Monroe.huddahHuddah amesema yupo tayari kurudiana na ex wake huyo na tena habari za kuachana kwa Prezzo na Chagga Barbie amezipokea kwa furaha kubwa na kwamba amelimiss penzi la Mfalme huyo wa Bling Bling.

“What’s the handle of that Prezzos ex? Can somebody tell her I am happy they broke up? I am Actually in church thanking God! Lol,” alitweet Huddah na kisha kumwambia Barbie: Hi.I am VERY happy @TanzaniteG that u and @AMB_Prezzo broke up.I missed my beast in bed.I am on the next flight to Kenya.Thanks dear.Mwaah.”

Isitoshe Huddah anasema Prezzo ni fundi kwenye mchezo wa kitandani na kwamba hicho ndicho kinamchomsababisha Chagga Barbie achukie zaidi licha ya kumuita ‘Kibamia’. “He he he! I’ll gladly take him back.Coz he is the best sex I ever had….That’s what the chagga is missing! LOL! No wonder she is angry!”

“KQ I need the next flight to Kenya.I got something urgent that I need to celebrate.”

Hizi ni tweets zingine za Huddah:

And I’m not being sarcastic you nasty idiots.u should leave Prezzo alone.People in a relationship share a lot and that’s what he simply did

That’s awkward moment when Prezzo announces his new gal and its not me.LOL!

And I don’t want any bitch texting my man begging him for apologies once we are back.Your time is up.LMFAO! Instagram dating!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top