RC- MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE MKOANI HUMO

image

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi  wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hichoimage

Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya  Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha  ndege songwe Mbeya

Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi  uwanja huo kwa muda uliopngwa

image

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post