HAYA NDIO MABORESHO YA MTANDAO WA INSTAGRAM

Kila siku sayansi na Teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyozidi kuboreshwa.
Instagram
Mtandao wa picha wa Instagram umeingia tena kwenye Headline baada ya kufanya maboresho katika mtandao huo ambapo awali mteja alikuwa anaweza ku acha maoni katika Picha ya Mtu na bila kuwepo kwa uwezo wa ku like picha hiyo.

Baada ya Maboresho hayo sasa hivi unauwezo wa ku acha maoni na mwenye picha hiyo anauwezo wa kujibu moja kwa moja kupitia comment yako na kuwa na uwezo wa ku like pia
Huu ni mfano wa maboresho hayo yanavyoonekana kwa sasa.
***********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post