BRAND NEW AUDIO MUSIC | KOKU BY Q CHILLAH FT PATORANKING | DOWNLOAD/LISTEN

Q-Chillah - Koku ft Patoranking
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Q-Chillah ameachia rasmi wimbo wake mpya unaitwa “Koku” ambao amemshirikisha mkali wa dancehall kutoka Nigeria Patoranking

Sikiliza hapa chini.

************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post