Huwezi kuzungumzia ngoma ambazo zinabamba kinoma noma sasa hivi Africa ukaacha kuitaja “Pana” yakwake Tekno Milles.
Ni ngoma kali iliyoshiba katika kila idara kuanzia kwenye production hata kwenye mashairi. Sasa nimeileta remix ya ngoma hiyo ambayo humo ndani kuna kichwa kingine kikali ambacho kinawanyima usingizi wasanii wakike wa Tanzania kila kukicha katika suala zima la Tuzo za kimataifa, anaitwa Yemi Alade.
Kumbuka kuwa hawa wote watakuwepo kwenye lilejukwaa kubwa la kiburudani la Fiesta Imooooooo...!! jijini Dar es Salaam, Una kila sababu ya kuenjoy na remix hiyo.
Kumbuka kuwa hawa wote watakuwepo kwenye lilejukwaa kubwa la kiburudani la Fiesta Imooooooo...!! jijini Dar es Salaam, Una kila sababu ya kuenjoy na remix hiyo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.