Unknown Unknown Author
Title: (VIDEO) UTAIPENDA HII COLLABO YA DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz na Alikiba ni wasanii wakali na wakubwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla hilo linajulikana au vipi eeh!? Na kwak...
Diamond Platnumz na Alikiba ni wasanii wakali na wakubwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla hilo linajulikana au vipi eeh!?
Diamond Platnumz na Alikiba
Na kwakuwa wote wanafanya muziki mzuri, ni pendekezo la kila mmoja mpenzi wa muziki mzuri kutaka kuona collabo ya pamoja ya wawili hawa, kutokana na ushindani ambao wanao katika kazi yao ya muziki na hata katika hali ya kutengeneza muziki mzuri ili kuipeleka Bongo Fleva mbali zaidi.

Sasa unachotakiwa kukifahamu ni kwamba wawili hao wamekwisha fanya collabo tena zaidi ya moja. Unataka kuzijua? Play hii video hapa chini utaelewa anachokimaanisha huyu mchekeshaji maarufu wa nchini Kenya.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top