Baadhi ya Madereva bodaboda mkoa wa Lindi wameelezea changamoto wanazozipata ikiwemo ubovu wa bara bara na hasa kipindi hichi ambacho ujenzi wa barabara unaoendelea katika Manispaa ya Lindi.
Sanjali na hayo wamesema wanatumia gharama kubwa katika kuongeza mafuta na pikipiki zao zinaharibika pamoja na kutumia kilomita kubwa kwa kukwepa barabara zinazofanyiwa matengenezo.
Akiongea na Lindiyetu.com Rajabu Mgambo dereva boda boda anayepaki kituoa cha Sabasaba alikuwa na haya ya kuzungumza
“Miundombinu ya manispaa yetu kwa sasa inachangamoto nyingi hasa kwa sisi madereva bodaboda kwani barabara nyingi zipokatika matengenezo hivyo inatusababishia kuharibika kwa vyombovyetu kwani barabara tunazopita kwa ajili ya kuchepuka ni mbovu sana”
KUMSIKILIZA NDG RAJABU AKIZUNGUMZIA SUALA HILO BOFYA PLAY.

Tags
HABARI ZA KITAIFA