Leo ni siku ambayo wimbo mpya wa Alikiba "Lupela" utakapoanza kuonyeshwa rasami kwenye kituo cha televisheni cha MTV Base.

Taarifa hii imetolewa jana na kituo hicho kikubwa cha televisheni na kuwapa furaha kubwa mashabiki wa msanii huyu kwani imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kuonekana kwenye vituo vya kimataifa.
Kaa karibu na TV yako kuanzia leo na kuweza kushuhudia wimbo huo Ukichezwa kwa Mara ya Kwanza na Kituo hicho Tangu ulipotoka Tarehe 7 ya Mwezi wa Pili mwaka 2016 takribani Siku Thelathini na Mbili.
Tags
HABARI ZA WASANII