
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) March 8, 2016Wakati ambapo wanawake wengine wamesherehekea siku ya wanawake duniani kwa kuwaandika ujumbe maalum mwanawake wanaowachukulia kuwa na umuhimu mkubwa kwenye maisha yao, Kim ameitumia kuonesha umbo lake likiwa kwenye birthday suit.
Picha hiyo imekuja siku chache tu baada ya kupost nyingine kwenye Instagram na Twitter.
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) March 8, 2016Cha kufurahisisha zaidi ni kuwa mume wake, Kanye West naye anamuunga mkono.
— KANYE WEST (@kanyewest) March 8, 2016
***********************
JE ULIMIS KUTAZAMA VIDEO:: FREEMAN MBOWE AONGELEWA UTUMBUAJI MAJIPU
Tags
WATU MAARUFU