Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI:: NITAKUPENDA USIKU TU SEHEME YA NANE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 08 Mtunzi: Andrew Carlos Sms tu: 0713 133 633 Ilipoishia.. Nakupenda Seif na usije ukanifanyia mchez...
chombezo cover 1Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 08
Mtunzi: Andrew Carlos
Sms tu: 0713 133 633

Ilipoishia..
Nakupenda Seif na usije ukanifanyia mchezo mchafu tu wakutembea na wengine bila kutumia kondomu tena mijimama kama mimi. Kwanza niambie na wewe jana usiku hukulala na mwanamke kwenye kigodoro wewe? na ulitumia kondomu?”

Songa nayo sasa..
Kigugumizi cha ghafla kikaniteka. Kikanivuta nikavutika Khaswaa! Sikuwa na jibu maalum la kumpatia zaidi ya kuinamisha kichwa changu chini kwa muda. Moja haikai mbili inadunda dunda tatu ndio kabisa inaelea. Nikavuta picha ya jana yake usiku. Usiku ule wa kule Tandale kwenye vigodoro! Usiku ule wa yale majimama mawili yalivyokuwa yakinihamasisha. Nikahamasika mtoto wa Iringa vijijini kwa jimama limoja nakulipa kasuku wangu amfanye atakavyo. Picha ikajivuta zaidi kuwa sikutumia kondomu! Nikajutia!! Nikaumia sana tena zaidi ya sana!.

Kuinua kichwa changu tu machozi malegevu yakanilenga lenga kupitia paji langu la uso. Nikajikaza! kaza!, Kaza tena waaapi!! Sikuweza kuurefusha mkono wangu japo usogee mpaka usoni. Machozi yakaniwahi, Purukuchu!! Yakawa yameshapitiliza katika shavu la kushoto likipokezana na la kulia, Yakadanda nakudondoka.
“Seif si naongea na wewe? Uko kwenye kigodoro hukulala na mtu?”
“Hapana sikuwa hata na mwanamke!!” Nilijitetea
“Sasa kwanini ukae kimya kwa muda ndio unijibu? na hayo machozi vipi?”
“Anhh!! mmhh!! mhhh!!, kunakitu nimekikumbuka ghafla uko kijijini nyumbani?”
“Seif? Seif angalia?”

Mash alininyooshea kidole kisha akajiweka sawa kwa kurudishia nguo zake nakuufungua mlango kwa kuubamiza. Hakusema kama atarejea.
Hakusema neno lolote zaidi ya kuondoka akiwa katika hasira kali ametutumka kwa kuvimba mashavu.
“Mash atakuja kuniua kwa hali hii? siku ya pili tu yupo hivi?”
Nilibaki nikijisemea mwenyewe chinichini. Mash aliniacha katika wakati mgumu sana. Maneno yake yalipigana na ngome ya masikio yangu yakashindwa kunitoka. Maneno aliyonitamkia kuhusiana na biashara ya ukahaba anayodai inamuingizia kipato. Hata kama ungelikuwa wewe msomaji kamwe hakuna kitu kama hiki. Eti mpaka sasa hajaenda kavu? Ni mimi tu ndio nilifanya pasipo kondom. Kwa hili nakataa!! hapa tutaandamana kwa kweli!
Nikiwa katika kuwaza nakuwazua mara mlango wangu ukafunguliwa tena kwa mara nyingine. Nilihisi Mash amerudi tena. Hapana!! Sura ya Jof ndio ilitokelezea!
“Seif wewe ni noma? Noma tena zaidi ya sana”
“Kwanini?”
“Kwanza malizia kulia au futa hiyo michozi yako!”

Haraka haraka niliyapikicha macho yangu nakusogea mpaka kwenye kitanda nakukaa. Vivyo hivyo na Jof na yeye akakaa pembeni yangu kitandani.
“Ujue nilikuwa dirishani kwako muda wote ule nilivyotoka hapa nakusikiliza mzee mzima ukibabwaja! ila ujue nini Seif?”
“Nini?”
“Umezingua mwana!!”
“Nimezingua? kwa kipi?”
“Huwezi ukatoa michozi yote hiyo kwa demu tena ndani ya siku mbili tu? kwanini sasa ulie au ndio limashine lako kama anavyosema Mash nini?? haaa haaa haaa!!”

Hasira kali zilinishika. Sikupenda utani kabisa katika maisha yangu japo vijiwe vingi nilivyokuwa nikipitisha kahawa na chai vilikuwa vikitaniana sana na hata kunitania kwa kawaida tu. Kwa pale nilikuwa mvumilivu kwa sababu ya kazi niliokuwa nikiifanya.
“Jof? embu badilisha mada hiyo tupa kule!”
“Hapana Seif!! wee mwana!! lazima tusemane ukweli. Lile jimama litakuua achana nalo, eti nimesikia likisema halijawahi kuenda kavu kavu na mtu yoyote zaidi yako? haa! haa! haaa!!, Chezea mchuzi wa pweza mjini wewe? huyo keshakutana na mijimashine zaidi ya analosema lako...
“Joff??” Nilimkatisha maneno yake.
“Niambie mzee wa majimama? Unasemaje?”
“Nakuomba uende nyumbani niandae vitu kwa ajili ya kwenda kuuza.

Angalia nina kahawa zinanisubiri kutengeneza. Jiko niwashe bado chai na muda unazidi kusonga. Heri yako wewe na kakibanda kako kakuuuza samaki”
Maneno yale yalimuingia sana Jof. Hakusema neno lolote zaidi ya kukaa kimya. Kimya kama mtu aliong’oa jino la pembeni. Hata ile kuniaga, Hakuniaga!! alifungua mlango wangu na kutoka kimya kimya. Sikuweza kumsemesha kutokana na hasira kali nilizokuwa nazo.
******
Siku nzima sikuweza hata kutengeneza hiyo kahawa wala chai. Jof alikuwa ameniharibia siku. Kitendo cha yeye kuondoka tu, nilisalimiana na kitanda changu nakukipa haki. Cheki ulivyoanza kushangaa!! hapa namaanisha nilipewa haki ya kukilalia. Nikapiga mbonji!! Usingizi ukanimeza. Tukamezana ndotoni!!

Mpaka inatimia saa kumi na mbili ndio nilikuja kushtuka. Sikuweza kula hata mchana ulinipita nikiwa usingizini. Njaa ilikuwa imenyanyasa tumbo langu. Lilikuwa limedharirishwa na kugalagazwa vilivyo. Tumbo likalegea na kusinyaa. Uvivu ukanivaa. Uvivu wa kuweza kuamka kitandani nakutengeneza chochote. Baada ya muda mrefu nilijinyanyua kwa kujilazimisha. Nikainuka nakukaa kitandani.
“Hapa nikatafute chakula tu!”
NIlijisemea mwenyewe nakuinuka. Pesa kidogo ya matumizi yangu nikaivuta nakuingia mtaani kutafuta chochote ili tu tumbo langu lipate kuneemeka!

Nikaanza kusoma mitaa. Kukata mitaa uku jua nalo likipishana na mwezi. Jua lile likazidiwa na mwezi kukawa giza. Giza gizale!!
Mpaka nakuja kupata kile nilichokuwa nikikitaka muda ulikuwa umeshakwenda sana.

Sikuweza kurudi getto kwani nilijua tu lazima Jof atakuja na safari zake za vigodoro au lile Mash atakuja na hivi alivyoondoka na hasira!! ndio sababu ilionifanya nisirudi mapema getto.Nilihitaji akili ikae sawa kwa kudhurula kwani vijiwe vingi nilivyokuwa nikiviuzia chai na kahawa vilipenda kuongelea maneno haya. Maneno ya kuweka akili itulie kwa kutembea na pia kukaa na watu tofauti.
Tayari nilikuwa kama muhanga, Muhanga wa Starehe. Unajua ni starehe gani? La hasha!! Nilikuwa mhanga wa starehe ya mapenzi.
Kiakili ni kama nilikuwa nikihama kutoka hatua fulani kwenda nyingine. Naweza kufafanua vizuri kabisa. Niliweza kutoka hatua ya kutumia sabuni na mafuta mazito kwa kujichua chooni mpaka kuweza kufanya ‘live’ usinicheke!! Vijana sisi wakiume lazima tupitie huko kama hujawahi nina wasiwasi na maumbile yako!
Lile domo zege niliokuwa nalo kwa muda mrefu. Domo zege la kushindwa kuongea na mwanamke kuhusu mapenzi lilishakwisha kwenye vigodoro viwili mfululizo. Vigodoro vilinifanya nijiamini sana mbele ya msichana yoyote.

Hatua ndogo ndogo nikazivuta. Nikajikuta nikiwa maeneo ya mbali kidogo na maeneo ya geto kwangu. Nilikuwa maeneo ya buguruni.
Muziki mkubwa wa kwenye baa moja hivi sikuweza kulijua jina lake kwakuwa sikuweza kujua kusoma. Elimu yangu ya darasa la sita ilinitosha kujua mitaa tu tena ilioandikwa kifupi kwa lugha ya kiswahili.
Baa ilikuwa imesheheni makelele ya muziki. Haikuwa kama hizi baa nyingine za mitaani. Vijana wengi wakike kwa wakiume walionekana kuranda randa hapa na pale. Kuna vibinti vidogo sana vilikuwa vimejifunika kanga vingine vikiwa katika nguo fupi navyo vilikuwepo.
“Haaa!! na hivi bado havijalala mpaka sasa? Sasa hapa baa vinakunywa?”Nilijisemea mwenyewe baada ya kuviona vitoto vya kike vikiwa vingi kuzunguka ile baa. Kuna ambavyo vilikuwa vimevaa sketi fupi na vingine vikijifunika kanga tu.
“Au leo kuna disko toto nini hapa?” Nilijiuliza mara mbili mbili pasipo jibu.

Nikiwa bado katika mshangao wa hapa na pale mara kibinti kimoja kikanisogelea. Kilikuwa kimejifunika kanga. Kikaivua ile kanga nakubakiwa na kinguo cha ndani tu.
“Unash ngapi?” Aliongea yule binti.
“Unamaana gani?” Nilimuuliza kwa ukali.
“Kembe wewe mgeni enhh??. Hapa nauza hii kwa bei nafuu!!” Alinivulia ile nguo ya ndani kabisa. Taharuki!! Macho yangu yakataharikika! yakakutana na vitu tofauti kidogo. Ni nywele nywele chache za kikubwa tu ndizo zilikuwa zikifunika eneo la sehemu zake za siri.

Mwili wangu ukawa umeshabipiwa. Ukabipwika!! Moyo ukanidunda, kasuku akasisimka. Taratibu akaanza kuchomoa kucha zake. Mkia akatingisha. Akabisha hodi kwenye zipu ya suruali yangu. Nikamzuia kwanza!!. Kila nikikaangalia kale kabinti usoni nilikaona kama ni katoto kadogo sana kwangu.
“Unaweza wewe?” Nilikatania uku nikijiondokea zangu eneo lile.
Kaliendelea kunifuata kwa nyuma nyuma. Nikasimama.
“Shida yako nini kwani? Wee nipe hela twende pale fasta fasta nikuoneshe mziki wangu!!” Aliongea yule binti kwa mashauzi.
“Muziki wangu? Unaujua wewe?? Nenda zako nitakuua wewe mie sitaki kesi mwenzako nina mashine kubwa sana nakuonea huruma”
Una mashine siyo? Sasa najitolea hela ya chumba pale!! nataka twende na kama ukiushindwa huu muziki unakilipia gharama zote”
Dharau! Dharau!! hanijui huyu mtoto enhh” Nilijisemea kimoyomoyo.
Kila nikitaka kurudi nilisita. Nilikaangalia mara mbili mbili nakukaonea huruma.
Nikayakumbuka maneno ya Mash na Jof juu ya kutumia kondomu popote pale.
“Kondomu wanauza wapi” Nikakauliza.
“Pale Pale tukiingia tu hapo hapo tunapewa chumba na kondomu.

Nimeshakwambia ole wako uushindwe muziki huu. Hutoki!! nakwambia tena hutoki. Twende!! Twende” Aliongea yule binti uku akinishika mkono.
Nilionesha kusita lakini kitendo cha kuniambia kuna kondomu wee unafikiri ningefanyaje muathirika wa mapenzi kama mimi. Muathirika niliokuwa nimezoea mafuta na sabuni kupiga puchu kila siku?
Hatua kadhaa tulikuwa tayari tumeshafika nje ya lango na yule binti. Kalionesha ni machachari sana. Kalinishika mkono mpaka kaunta kuu ya kulipia chumba.
“Haya mpe mia tatu ya kondomu!”Haraka haraka nilitoa chenji zangu za kuuza kahawa nikampatia yule jamaa. Akatoa kondomu kisha akataja namba ya chumba. Kale kabinti kalikuwa ni kenyeji. Kakanipeleka hadi chumbani. Tukaingia mpaka katika kichumba kidogo kilichokuwa na mwanga wa kutosha.

Mwanga wa taa. Kadirisha kadogo sana. Kile kibinti hakikutaka masihara kabisa.
“Haya changu weka pembeni kabisaa!”
“Sasa si umeniambia mpaka nikishindwa?”
“Pumbavu kweli wewe, nani anayetoaga *** bure hapa mjini? Weka changu hapa”

Kalianza kuvua sidiria uku kakilalamika kwa sauti ya ukali. Matiti yake yalikuwa yamelala sana mithili ya kandambili zilizochoka.
Nilibaki nikikashangaa sana kwa umbile lake na matiti yake. Ni wazi kalionekana kama kana watoto kama sio watatu basi wanne.
Kakaendelea kuvua nguo zake. Kakatoa kisketi chake nakubakiwa utupu. Shanga nyingi za kiunoni zilikuwa zimekapamba vilivyo.
Mapaja ya kuchanika nyama nyama yalikuwa yakikavutia. Kwa nje ukikaona ni kadoogo lakini kwa ndani ni lazima ungetoa mate kwa jinsi kalivyoumbika.
“Ulisema sh. Ngapi?” Nilikauliza kwa kujiuma uma. Tayari mzuka ulikuwa umenipanda. Ulinipanda hata nikawa nashindwa kuhema vizuri baada ya kuona kile kitu adimu kwa sisi wakware.
“Bei zetu nilishakwambia nafuu sana, kwa wewe nipe elfu 3 tu?”
“Elfu 3?”
“Ndio unashangaa kwani hujui bei zetu?
Wewe mgeni mazingira haya au unataka kuniongezea?” Aliongea yule binti.

Nilibaki njia panda. Mguu nje mguu ndani. Ushamba wangu ulikuwa umepitiliza. Sikuwa natambua kabisa kuwa kumbe kuna vijisichana vilikuwa vikijiuza kwa bei ndogo sana. Bei chee!!
Nikazitukana sana zile sabuni na mafuta zilizokuwa zikimuonea kasuku wangu kwa kumtapisha kila siku. Nikajutia hata vigodoro na mijimama yake.
“Kwa hali hii kigorodoro bai bai!!” Nilijisemea mwenyewe uku nikitoa pesa nakukakabidhi kale kabinti tayari kwa kuanza kazi. Kakaichukuwa nakulala kifudi fudi uku kakinitanuliwa mapaja. Mwanuu!!
“Haya pesa umetoa vaa kondomu tuanze”

Masikini kidume mimi mjanja wa usiku mjinga wa mchana. Sikujua hata matumizi ya kondomu. Sikuwa najua ikivaliwa wala kuvuliwa zaidi ya kuonaga kiboksi chake tu tena kwa nje au kwenye zile muvi zetu zile za X tena mabandani. Sikutaka kumuonesha yule binti ushamba wangu wa kutokujua kuvaa na kutumia kondomu.
********
::: Seif ndio kwanza anayajua mapenzi baada ya kuingia mjini japo alikuwa akijua kutumia mafuta na sabuni tu katika kujichua. Je ataweza kuvaa hiyo kondomu?? na itakuwaje uko mbeleni kwani ndio kwanza ameyavamia mapenzi kwa pupa.
:: Na kuhusu Mash vipi atakuja kujua anayofanya Seif?? Na itakuwaje siku akimfuma??
:: Utamu ndio kwanza unazidi kukolea. Usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia ujisomee mwenyewe

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top