Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: NITAKUPENDA USIKU TU SEHEMU YA SITA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU Sehemu: 06 Mtunzi: Andrew Carlos Sms tu: 0713 133 633 Ilipoishia.. Akaanza kunivua shati langu. Akalitupa ku...
chombezo cover 1Chombezo: NITAKUPENDA USIKU TU
Sehemu: 06
Mtunzi: Andrew Carlos
Sms tu: 0713 133 633

Ilipoishia..
Akaanza kunivua shati langu. Akalitupa kule! Akalala chini kabisa, na mimi nikalazimishwa kumlalia kwa kusukumwa na lile jimama lingine. Likaja kwa juu yangu na yule mwembamba akamaliza juu yao tena. Kupumua siwezi!! Kuongea siwezi!! kudonoa siwezi!!

Songa nayo sasa…
Mbele ya utamu tena!! Kimoyomoiyo nikajisemea kanyaga twende. Sijui walikuwa wamepanga njama! lile jimama lililokuwa nyuma chini yangu likarefusha mkono wake mpaka karibia na suruali yangu.

Likavuta zipu yangu. Likafanikiwa kuifungua. Likamchoropoa kasuku wangu aliokuwa akizubaa mwenyewe ndani kwa ndani. Lile jimama la juu ya kifua changu nalo kama ishara likawa limeshajua. Likabadilisha mkao. Likaacha kunilalia kifudi fudi. Likayalaza makalio yake mbele yangu. Mbele ya kasuku wangu tena!!. Kasuku akasalimiana na limwili lake. Ndembwendembwe!!. Akaanza kudonoa eneo ambalo lilikuwa bichi sana. Lilikuwa limelowa kwa jasho jasho na utelezi wa kufa mtu! Akili yangu ikakumbuka kitu. Ikakumbuka kuwa nimesahau kumvalisha kasuku wangu kondomu. Nikajumlisha na maneno ya Jof. Nikakumbuka kuwa Jof nilishamdanganya ninayo. Nikatamani nikurupuke nimfuate Jof japo kumdanganya kuwa zimeniishia, Jof akawa mbali na mimi nikalemewa kiakili! nikaachana naye nikiendelea kufaudu!!
“Ayaaaaa!!!” Nilineng’eneka mwenyewe.
Nilihisi kama kiuno changu kupoteza uelekeo kabisa. Hakikuwa kikikatika tena kama kilivyokuwa kikifanya hapo awali kutokana na uzito mkubwa kutoka kwa mijimama miwili na msichana mwembamba mmoja. Mbele ya utamu tena!! Nikaunganisha kukatikia tu. Tamaa mbele mauti nyuma!! Nikaendeleza libeneke!! Nikajipinda mzee wa kazi japo kishida shida kwa kutumia nguvu za ziada za kijijini kule. Nguvu za kulimia shamba nikazileta mjini. Sikushauri na wewe uwe hivi, hapana ni utamu tu katika mambo yetu yalee!!. Kutokana na giza kuendelea kufunika, taa kuzimwa makusudi na Dj aliokuwa akiupiga huu muziki na kutokana pia na sheria ya kuupiga huu muziki gizani ulizidi kumchochea kila mtu na sana sana yule jimama wa chini aliokuwa amenilalia kuja kwa juu yangu. Udenda ukatanda.
Ukamtanda yule mwembamba kadhalika na lile jimama niliolilalia chini. Likaendelea kunitamani!!
Likahamia juu rasmi. Utamu kutoka kwangu ukawa umeshalitosheleza lile jimama la kwanza likachukuwa vitu vyake nakuingia ndani nakuliacha lile jingine sasa.Lile lililokuwa chini utupu. Likaniangalia tu pasipo kufanya chochote. Sikujua sababu ya kunifanyia vile. Likachukuwa mtandio wake sambamba na nguo zake pale chini kisha likatimka nakukimbia mpaka ndani kabisa nakuniachia yule mwembamba. Mwembamba akaanza kwanza kucheza peke yake chini ardhini kabisa akiwa utupu.
Ndani kwa ndani nikahisi kasuku wangu katapika mpaka kuchoka japokuwa alikuwa bado ametuna. Hamu ilikuwa imeshaniishia kutokana na kuridhishwa na lile jimama moja. Ule umati ukaanza kutawanyika ukijichezea muziki ule peke yao na hii yote ni kutokana na majimama yote kuondoka kukimbilia ndani. Waliamini kuwa mijimama ilikuwa na msisimko zaidi kuliko yule mwembamba niliokuwa nimebaki naye. Wakaniacha ‘alone’ mzee mwenyewe wao wakiwa kwa mbali kidogo wakiendeleza muziki.
Yule mwembamba akaachana na kuucheza muziki ule na safari hii akanisogelea karibu vijana wa siku hizi wanasema ‘ziro distance’ moyoni nikatamani nimchane makavu nimwambie siwezi lakini mdomo wake ukawa umeshawahi kugusana na wangu. Sikuweza kutoa neno lolote zaidi ya kushangaa mate mate yake yakichirizika katika mdomo wangu. Nikayapokea nakumpatia yangu. Dahh!! raha ilioje. Msisimko wa ajabu ukanitawala. Akasogeza mdomo wake mpaka karibia na masikio yangu nikahisi ubaridi ukinipuliza. Sikuweza kuamini mara moja kama nipo kwenye kigodoro kwani ilikuwa ni zaidi ya muziki laini ule ninaosikilizaga redioni tena kupitia kiredio mbao changu getto.
“ Unaitwa nani?” Aliniuliza kwa sauti ya utaratibu.
“Seif”
“Nipe namba yako ya simu?”

Nikakaa kimya kama dakika moja nzima kisha nikajiuliza maswali karibia kumi bila ya kupata majibu. Kiukweli hata simu ya maboksi sikuwa nayo. Jof nayeye kwa ujanja wake kwa kuja kwenye vigodoro mara kwa mara hakuwa na simu. Na nilivyokuwa nimejipanga ninunue simu angalau mwezi huu kwani nakodi nayo nilikuwa nimeshamaliza kulipia.
“Simu nimeiacha kwangu chaji”
“Utaachaje simu sasa? mimi nilitaka nikupigie baada ya muda nikawatoroke wenzangu ndani baadaye nije nikupe mautamu au huyapendi mautamu haya? mwenzako tayari nimeshalowa na mume wangu hajielewi kanywa mipombe humo toka asubuhi mpaka sasa hivi anatapika ovyo ndani hana hata nguvu itakuwaje sasa au nitafute tu mwingine akanitoe vizuri haya mautelezi niliokuwa nayo?” Aliongea kwa kulegea.

“Hapana ngoja kuna rafiki yangu anayo simu nimekuja naye hapa ngoja nimuombe yupo hapo kwenye mduara huo”
“Fanya haaraka kabla sijabadilisha uamuzi wa kutafuta mwingine”
Niliachana naye fasta. Akaanza kuzivaa nguo zake vizuri. Sikuwa na jinsi zaidi ya kumwendea mshauri wangu Jof akanishauri tufanyaje. Kufika jof nayeye sijui ndio alipewa pombe nyingine kwani mkononi alikuwa na bia nyingine na safari hii alipepesuka sana na kutoa maneno yasioeleweka akitishia hata kupigana kwa chupa na watu asiowafahamu wa Tandale.

Nikageuza kidume mimi mpaka kwa yule msichana mwembamba nilipomuacha.
“Haya niambie hiyo namba, ngoja niende ndani nikachukue simu yangu”
“Sasa jamaa sijamuona ila”
“Ila nini sasa Seif”
“Ila wewe si unakaa hapa kwenu?”
“Aliokuambia kwetu nani? unajifanya hata hujui kuna nini hapa? hapa ninavyokuwambia tumetoka kwetu Tanga kuja kwenye harusi ya mdogo wetu. na hata wale majimama uliowaona wamewaacha waume zao wapo mikoani kikazi mie mme wangu nimekuja naye na kama nilivyokuwambia kuwa yupo hoi hajielewei na tusipofanya leo inamaana kesho asubuhi atakuwa na akili yake na atanitoa yeye”
“Basi tufanye hivi, nenda kaage sasa hivi twende popote”
“Ila sitaki gesti? kuna mashemeji zangu wameenda kunywa mtaa wa pili hapo?”
Mzee mzima nikavuta taswira ya getto kwangu Tabata dampo palivyokuwa mbali. Nikaunganisha na kipande cha kutoka Tandale kwa mtogole mpaka Tabata dampo tena kwa mguu kwani hata na hela ya bajaji sikuwa nayo. Hela ya daladala yenyewe ilikuwa haitoshi kutokana na hela zangu zote za mahesabu mchana kuziacha getto. Nikainua kichwa baada ya kujipigia hesabu mbili tatu kichwani.
“Twende nzetu!”
“Pita upande wa kule na mimi upande wa huku tukutane kwa mbele kule?”
“Poa!”
Pepo!! Pepo mbaya alishanikumba kichwani. Pepo mmoja tu. Pepo wa mapenzi. Kiu yangu ya kutokupata mwanamke kwa miaka kadhaa nikiwa kijijini iliniyanyasa sana. Sikutaka kuchezea kabisa nafasi kama hizi japo zilikuwa zimekuja mfululizo sana ndani ya siku mbili tu. Kwa jinsi alivyoniambia kuwa mumewe yupo hoi sikuwa na wasiwasi.

Wasiwasi kidogo tena sana nilipelekea kwa mashemeji zake aliodai kuwa wameenda kunywa mtaa wa jirani. Kila hatua niliokuwa nikiipiga ndivyo na mapigo yangu ya moyo yalivyokuwa yakinidunda.
Niliifahamu Tandale kidogo kutokana na biashara yangu ya muda mfupi ya kuuza chai asubuhi na mchana kisha Kahawa jioni.
Niliendelea kupiga hatua mpaka nikakaribiana na nyumba ya pembeni kwa mbali kidogo kutoka eneo lililokuwa likipigwa kigodoro. Nilijihisi kuchanganyikiwa kwani kila nikipiga akili ya kutafuta japo kichaka nilishindwa.
“Huyu leo atakamuliwa uchochoroni tu, Liwalo na liwe!!” Nilijisemea kimoyomoyo uku nikimsikilizia.
Nilishakubaliana na yote kutokanana tamaa ya mwili wangu. Mwili ulinipekesha kuliko hata akili. Nikiwa katika limbi la mawazo mara kwa upande wa mbele kidogo nikamuona yule msichana akiwa na mwanaume mwingine.
“Au ndio mmoja wa mashemeji zake nini, sasa kwanini anakuja maeneo alioniambia tukutane huku” Nilijiuliza mwenyewe pasipo jibu.
Walizidi kusogea karibu. Nikajibanza kwenye kauchochoro. Kwenye kaeneo kulipokuwa na giza. Nikaanza kutupia jicho.kodo!!. Yule msichana bado alikuwa hajielewi, Hajielewi kwa kupepesuka ovyo akishikwa vizuri na yule mvulana kila hatua.
“Masikini kuku wangu mwenyewe analiwa namuona!!” Nilianza kujilaumu.
Yote hiyo ilikuwa ni baada ya jamaa na yule msichana mwebamba kufika maeneo ya karibu yangu. Alinipita bila hata kunisemesha wala kunitambua. Nilijilamu sana kumsubiria. Alipofika karibu yangu akalazwa pembeni yangu kwenye kale kale kauchochoro nilichopanga nifanye naye. Akaanza kuvuliwa nguo na jamaa la mtaani lililoonekana kuwa na uchu zaidi yangu. Kwa papara jamaa likamvua nakuanza kufanya mambo yetu yale tena kwa haraka haraka bila kutumia kondomu kama mimi uku yule msichana akilalamika kwa uchungu.
Nikatamani kuvamia ile show lakini nafsi ikanizuia. Ikanivuta kuwa niachane nao. Nikayaacha macho yaendelee tu kuona na mwili kutamani uku akili ikikataa kufanya lolote.
*********
:: Inamaana Seif ndio limbukeni kiasi hicho? Kwanini kila msichana anatamani kufanya naye tu mapenzi??
:: Ulishajiuliza vipi kuhusiana na lile jimama la kule anapoishi? Litamtafuta Seif?
:: Na kuhusu Jof alivyolewa watarudije na Seif?
:: Utamu ndio kwanza unaanza kukolea. Usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia usjiosmee mwenyewe hapa hapa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top