CEO wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kumtambulisha msanii mpya wa label yake baada ya mafanikio makubwa ya Harmonize.

Diamond alitoa taarifa hiyo kupitia twitter.

Pia Diamond alifafanua zaidi kwa kuandika ujumbe mwingine kupitia ukurasa huo huo wa Twitter.

Label ya Wasafi ina wasanii wawili, Harmonize pamoja na Raymond.
JE UNAHISI NI MSANII GANI ATAKAYE TAMBULISHWA SIKU HIYO.....?
Tags
HABARI ZA KITAIFA