Hayawi Hayawi Mwishowe Huwa....Baada ya sakata la msanii wa Bongo fleva Baraka Da Prince kuripotiwa na Vyombo kadhaa vya habari hapa nchini kuwa anamahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake wa Tasnia ya Filam za Ucheshi hapa hapa Bongo Salma Jabu (Nisha).

Sasa Sakata hilo Limechukua sura Mpya kati ya wawili hao wote walishawahi kuhojiwa na vyombo mbalimbali vya redio na Tv'S Station lakini walikana kutojihusisha na Mahusiano hayo japo walisema wanajuana kama WASANII TU na SI KITU KINGINE.
Wiki hii imekuwa tofauti hasa pale Msanii Nisha alipoweka video katika Ukurasa wake wa Instagram akiwa anamsifia Mchora tatoo kwa kumchora Tatoo Nzuri yenye jina la BARAKA na kumalizia ameipenda sana na ni special kwa "HUBBY" wake.(Post ilifutwa baada ya Dakika Chache)
Jambo hilo limeendelea kuwachanganya watu kwani msanii huyu hajaweka wazi ni Baraka yupi anaye mzungumzia....
Sasa Baraka anaetajwa kwenye Video Hii ni Yupi? Hebu Msikilize mwenyewe Hapo Chini:

Tags
HABARI ZA WASANII