Ligi kuu ya Soka ya England inataendelea tena Wikiendi hii baada ya kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi patakuwa na michezo mbalimbali.

Vinara wa ligi hiyo Leicester city itapambana na Norwich city, Southampton na Chelsea, Stoke na Aston Villa, Watford na Bournemouth, West Brom na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha Sunderland.
Ligi hiyo itaendelea tena Jumapili kwa michezo miwili Manchester united watakuwa wenyeji wa Arsenal uwanja wa Old Traford, na Tottenham wakiwakaribisha Swansea city. Mechi hizi zitachezwa majira ya Saa 11.05 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Tags
SPORTS NEWS