UKISTAAJABU YA MUSSA....:: MREMBO ATEMBEA AKIWA HAJAVA NGUO MTAANI BILA YA KUJULIKANA. CHEKI PICHA

Mwanamitindo
Mwanamitindo mmoja ameonekana akikatiza mitaa ya jiji la Hong Kong, China akiwa mtupu kuanzia kiunoni hadi chini pasipo watu kugundua kutokana na kuchorwa mfano wa jeans katika mwili wake sehemu hiyo ya chini.

Akiwa amevaa nguo ya juu iliyoandikwa ‘No pants are the best pants’ kwa nyuma, alionekana akipishana na watu mitaani, kwenye treni sehemu za kutolea pesa na kwingine bila watu kumshitukia.

Tazama picha zake;
Mwanamitindo 
Mwanamitindo 
Mwanamitindo 
Mwanamitindo 
Mwanamitindo 
Mwanamitindo
Previous Post Next Post