Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO BIRTHDAY YA AHMEID ABDULLAZIZ ILIVYOFANA, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Happy Birthday Ahmeid Abdullaziz..... Wikiend hii imekuwa ya furaha kwa kijana Ahmeid ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mwandishi wa Channe...
Ahmeid birthday
Happy Birthday Ahmeid Abdullaziz.....
Wikiend hii imekuwa ya furaha kwa kijana Ahmeid ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mwandishi wa Channel Ten pamoja na Lindiyetu.com kwa kutimiza miaka 10.

Katika kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa Kijana huyo aliweza kuwezeshwa na wazazi wake kufurahia kwa pamoja na Marafiki zake wa karibu sherehe fupi iliyofanyika nyumbani kwao Mitaa ya Mikumbi, Lindi Mjini.
Ahmeid birthday
Pia kupitia Mtandao wa Kijamii Baba Mzazi alichukua fursa ya kumtakia maisha mema na aliandika ujumbe huu hapa 
"
Namshukuru Mungu Mtoto wangu wa kwanza leo amefikisha Miaka 10 toka azaliwe..Inshaallah leo Nimemsomea Dua iliyoambatana na Dua KWA Wazazi wangu wote waliotangulia mbele ya Haki ikiwa pia siku HII ya leo tr 26 sept 2015 ..Inakamilisha Miaka 8 na miezi 6 toka afariki mama yangu mzazi ..TUWAOMBEE DUA..Ameen"
 
Ahmeid birthday
Ahmeid akiwa na wadogo zake nyumbani wakijiandaa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa 
Ahmeid birthday
Ahmeid Akizima Mishumaa 
Ahmeid birthday
Marafiki na Majirani wa Ahmeid wakiimba wimbo wa Happy Birthday kwa Rafiki yao wakati wa tendo la Kuzima mishumaa.... 
Ahmeid birthday
Ahmeid Akikata keki Baada ya Tendo la Kuzima mishumaa..... 
Ahmeid birthday
Ahmeid akimlisha keki dada yake ambaye ndio mdogo wake aliyemuachia ziwa..... 
Ahmeid birthday
Ahmeid akilishwa keki na Mama yake Mzazi 
Ahmeid birthday
Ahmeid akiwalisha Keki marafiki na Majirani waliohudhuria Sherehe yake ya Kuzaliwa. 
Ahmeid birthday
Marafiki wa Ahmeid wakiendelea kufurahia sherehe hiyo ya kuzaliwa...... 
Ahmeid birthday
Ahmeid akipokea zawadi kutoka kwa Mdogo wake 
Ahmeid birthday
Ahmeid akipongezwa na Baba na Mama yake katika siku yake ya kuzaliwa. 
Ahmeid birthday
Ahmeid akipokea mikono ya Pongezi kwa Marafiki zake waliohudhuria sherehe yake ya kuzaliwa.
Ahmeid birthday
Ahmeid akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake na wadogo zake. 
Ahmeid birthday
Ahmeid akiwa katika picha ya pamoja na Marafiki zake walioweza kuhudhuria sherehe yake ya kuzaliwa.

About Author

Advertisement

 
Top