CHEGE AJA NA COLLABO YA KIMATAIFA NA MSANII HUYU HAPA, NA JINA LA WIMBO HILI HAPA

Msanii kutoka Tanzania Chege amethibitisha kuwa tayari amerekodi wimbo na Mnigeria Runtown aliyefanya vizuri na nyimbo kama Galado na The Banger.
Chege Runtown
Runtown ameshawahi kufanya kazi na Davido na Uhuru kupitia hizo kazi mbili alizotoa.

Chege amesema wimbo unaitwa #SweetySweety na umetayarishwa na Dj Maphorisa wa Uhuru. Msanii mwingine aliyeshirikishwa kwenye rekodi hii ni msanii wa Uhuru Mr Miyagi.
Previous Post Next Post