MOBO AWARDS YATOA MAJINA YA WASANII WANAO WANIA KIPENGELE CHA BEST AFRICAN

Mobo Nomination
Tuzo za 20 za MOBO zinazofanyika Uingereza zimetoa majina ya wasanii wanao wania vipengele tofauti. Wasanii kutoka Nigeria na Ghana wametawala kipengele hicho huku msanii aliyechukua tuzo hio mwaka jana Fuse ODG Akiwa juu kabisa ya orodha hio.

Mwaka huu tuzo hizi zitafanyika Leeds Uingereza kwenye ukumbi wa Direct Arena jumatano ya November 5, 2015.

Best African 
Fuse ODG
Davido
Wizkid
Patoranking
Moelogo
Yemi Alade
Aka
Mista Silva
Shatta Wale
Silvastone
Previous Post Next Post