OFISI YA UHAMIAJI WAIBUKA WASHINDI WA TATU KATIKA KUNDI LA ULINZI NA USALAMA KATIKA SHEREHE ZA NANE NANE KITAIFA LINDI

Uhamiaji Viwanja vya Nane nane Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya Ushindi wa Tatu waziri Mathias Chikawe ambaye alipokea kwa niaba ya Ofisi ya Uhamiaji walioibuka washindi wa tatu katika Maonesho hayo ya Kilimo Nane nane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi, Leo tarehe 8/8/2015.
Uhamiaji Viwanja vya Nane nane Lindi
Wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa katika Picha ya Pamoja wakishangilia Ushindi walioshinda katika Maonesho ya Kilimo ya Nane nane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi na Kufungwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete Tarehe 8/8/2015. 
Uhamiaji Viwanja vya Nane nane Lindi
Wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa katika Banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya Nane nane yaliyofanyika Kitaifa Ngongo-Mkoani Lindi na Kufungwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete Tarehe 8/8/2015.  

Mratibu wa Uhamiaji kutoka Makao makuu Bi. Tatu Buriani (mwenye Hijabu) akiwa sambamba na Sofia Maunda ambaye ni Costebo wa Uhamiaji Lindi (mwenye Kofia) wakiwa katika Banda lao la Maonyesho katika sherehe za Nane nane Mkoani Lindi.
Previous Post Next Post