JK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU - SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI

Ndundu Somanga yazinduliwa
Rais KIKWETE akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Ndundu Somanga yazinduliwa
waziri wa Ujenzi Dk John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mh. Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Marendengo Wilayani Kilwa Mkoani Lindi kushiriki ufunguzi wa barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa kilometa 60. Barabara hiyo imejengwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na ubahili wa mfuko wa Kuwait pamoja na mfuko wa OPEN.
Ndundu Somanga yazinduliwa
Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa pamoja na mkewe Salma Kikwete wakimwagia maji mti wa Kumbukumbu walioupanda baada ya ufunguzi wa barabara ya Ndundu - Somanga Mkoani Lindi.
Ndundu Somanga yazinduliwa
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Marendengo., ambapo sherehe za uzinduzi wa barabara ya Ndundu - Somanga zilifanyika na Mgeni rasmi alikuwa Rais Dkt Jakaya Kikwete.
Ndundu Somanga yazinduliwa
Rais KIKWETE akisalimiana na wananchi wakati wa uzinduzi huo
Previous Post Next Post