SOPHIA NYAMAZI, MKAZI WA KIJIJI CHA MNIMBILA AKIPOKEA MSAADA WA CHAKULA KUTOKA KWA DORIS MOLELI FOUNDATION NA ALLEN NYUMBO MENEJA VODACOM MKOA WA LINDI.

CHAKULA KIKIWA KWENYE VIKAPU AMBAVYO ZILIGAWIWA KWA WAZEE WA KIJIJI CHA
MNIMBILA WILAYA LINDI , AMBACHO KILITOLEWA NA VODACOM NA DORIS FOUNDATION

PICHA YA PAMOJA VIONGOZI WA KIJIJI CHA MNIMBIRA NA VODACOM NA DORIS FOUNDATION
Jamii imeombwa kujenga utamaduni wa kusaidia watu mwenye matatizo shida mbalimbali hasa wazee watu wenye ulemavu na watoto yatima ili waweze kujisikia wanaishi kama watu wengine.
Wito huyo umetolewa na mkurugenzi wa taasisi ya Doris Moleli Foundation wakati alipokuwa anasaidia chakula wazee kutoka kaya maskini 65 za kijiji cha Mnimbila katika jimbo la Mtama jana. Msaada uliotolewa kwa ushirikiano wa Vodacom na taasisi ya Doris Moleli Foundation.
Doris alisema kuwa matatizo ya wazee, walemavu, na watoto yatima yanahitaji kutatuliwa na watu wenye moyo wa huruma ambao wana guswa na shida za makundi hayo, hivyo ni vyema kila mtu akaona umuhimu wa kusaidia makundi hayo ambayo yanajiona na kuisi yametengwa.
Alisema vodacoma na Doris Moleli foundation imeona umuhimu wa kusaidia chakula, mchele, sukari, unga mahindi, mafuta ya kula, tende kaya maskini katika wilaya Lindi, Rufiji pamoja na Dar es salam baada ya kusukumwa na kuona umuhimu wa makundi hayo katika kijamii.
Kwa upande wake Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi Alain Nyumbo alisema taasisi ya Doris na kampuni ya Vodacom wameona umuhimu wa kusaidia kaya maskini baada ya kugundua makundi hayo yanauhitaji mkubwa wa msaada pia kuonyesha kuwa wako na kujenga mahisiano aina ya taasisi
hizo wakati wote, Akizungumza kwania ya wakazi wa kijiji hicho Sophia Nyamanzi alisema msaada huyo umekuja kwa wakati kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula hali ambayo inawafanya kushindwa kumudu.
Nyamanzi alisema kuwa mahitaji yao ni makubwa lakini msaada haumalizi shida ila wanaomba watu wengine wanaokuguswa na familia maskini kuiga mfano huo wa Vodacom na Doris Moleli Foundation.

Tags
HABARI ZA KITAIFA