OFFICIAL: RAMADHAN SINGANO 'MESSI' ASAINI AZAM FC

Ramadhan Singano
Siku moja baada ya Shirikisho la soka Tanzania, TFF kutangaza kuvunja rasmi mkataba wa Ramadhan Singano 'Messi' na klabu yake ya Simba, winga huyo amesaini mkataba na Azam fc.
Ramadhan Singano
Previous Post Next Post