Habari Mbaya kwa Watanzania Hasa wa Jimbo la Geita kwa kumpoteza Mbunge wao wa Jimbo Hilo alie fariki Usiku huu, Mbunge huyo siku za nyuma Alisharipotiwa kusumbuliwa na Ugonjwa wa Kansa ya Ubongo na akawa anapata Matibabu ya Kansa ya Ubongo Nchini India.

Donald Max (enzi za uhai wake)
Tags
HABARI ZA KITAIFA