
BANZA STONE AKIWA KATIKA MAJUKUMU YAKE YA KIMUZIKI KABLA YA KUUGUA
Leo hii kumekuwa na Taarifa zisizo rasmi zilizotapakaa katika Mitandao mingi ya Kijamii zikihusicha kifo cha Mwanamuziki wa Tanzania ajulikanaye kwa Jina la Banza Stone, Lindiyetu.com ilifanya jitihada ya kutafuta Ukweli wa jambo hili na ndipo ulipokutana na Mahojiano haya ya Kaka wa Banza Stone "Shabani Alli Masanja" ambaye ameuthibitishia Mtandandao Huu kuwa Msanii huyo yu Mgonjwa lakini Hajafikwa na Mauzi na Hali yake inaendelea vizuri tu.

BANZA STONE AKIWA NYUMBANI KWAO SINZA
Hivyo Taarifa hizo si za kweli ni Uzushi Mtupu. MSIKILIZE HAPA AKIONGEA
Tags
HABARI ZA KITAIFA