ANGALIA MKANDA ATAKAO PEWA MSHINDI KATI YA FLOYD MAYWEATHER NA PACQUIAO UMETENGENEZWA NA NINI THAMANI YAKE

Floyd Mayweather na Pacquiao
Mabondio Floyd na Manny wametambua kuwa sio pesa nyingi tu zinagombaniwa kwenye pambano lao, ila ni mkanda wenye thamani kubwa uliotayarishwa kaajili ya mshindi.

Mkanda huu wa WBC [World Boxing Council] umetengenezwa na madini ya Emerald na mwingine umetengenezwa na Onyx. Mikanda hio miwili iliwekwa kwenye mtandao wa WBC na mashabiki walipiga kura mkanda upi apewe mshindi na mkanda uliochaguliwa zaidi ni wa Emerald.

Emerald imeshinda kwa asilimia 53%. Mikanda yote inathamani ya dola milioni 1.
Floyd Mayweather na Pacquiao

Floyd Mayweather na Pacquiao

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post