Unknown Unknown Author
Title: WANAWAKE 5 WANAOONGOZA KWA MVUTO BONGO MOVIE, LIST HII HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
List ya wanawake wenye mvuto zaidi kwenye tasnia ya bongo movie iliyotolewa na mtandao wa bongo movie ndio hii. Namba moja imechukuliwa ...


    List ya wanawake wenye mvuto zaidi kwenye tasnia ya bongo movie iliyotolewa na mtandao wa bongo movie ndio hii. Namba moja imechukuliwa na mwigizaje asiyeweka mambo yake wazi Welu Sengo.

    1.  Anaitwa Welu Sengo
    2. Yobnesh Yusuph Aka Batuli
    Yobnesh Yusuph Aka Batuli
    3. Tatu imechukuliwa na Wema Sepetu
    Wema Sepetu
    4. Elizabeth Michael aka Lulu
    Elizabeth Michael
    5. Irene Uwoya
    Irene Uwoya

    About Author

    Advertisement

    Post a Comment Blogger

    Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

    Note: Only a member of this blog may post a comment.

     
    Top