Ushabiki hauna mipaka kwenye mambo mengi ya burudani, michezo na hata siasa. Huyu anajiita shabiki namba moja wa msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na kwa mapenzi ya ukweli jamaa amechora tattoo ya jina la msanii huyu kwenye kifua chake. Haijulikani kam ni tattoo ya muda mrefu au ya muda mfupi.
Tags
HABARI ZA WASANII
vizuri sana shabiki nawaombeni muendeleze moyo wa upendo kama uo
ReplyDelete