ZITTO KABWE AONGEA NA WARIOBA KATIKA KIKAO CHA FARAGHA, NA HAYA NDIYO WALICHOZUNGUMZA

WARIOBA NA ZITTO KABWE
ZITTO KABWE anena haya...
"Nimekuwa na mkutano wa zaidi ya masaa mawili na Mzee Warioba kuhusu masuala mbalimbali ya Nchi yetu kama Uongozi na Uwajibikaji. Pia nimemweleza kwa ufupi kuhusu maazimio ya Bunge kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow"

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post